Wapendwa maua na bustani tukutane hapa

Ninapenda sana Maua na miti, Mzee aliniachia Nyumba na mzigo wa Maua ya kuyatunza na nimeweza, siku nilipoamua kuhama na kupangisha hiyo Nyumba kilichoniuma ni Maua yangu sikuwa na uhakika kama mpangaji atayatunza ikabidi nitafute kijana wa kuyatunza kama huduma ya ziada

Sasa hivi changamoto huko ni nyoka mzungu hana amani kabisa, hapa nilipoamia kazi ya Maua ndio inaanza rasmi afu ni sinza nadhani itakua Nyumba ya kipekee mtaani kwa Maua na miti
 
I love nature, i love green color
Asante kwa uzi mujarabu. Shule nikaanzisha nature club nature yaondoa stress ndogo ndogo
Umeona eh...nature ni tamu. Kuna kipindi nilikuwa naishi kwenye gorofa flani hivi za ofisi niliteseka sana maana hakukuwa na nafasi ya kupanda maua na mboga mboga. Mimi kuwa in contact na udongo kwangu ni burudani na tiba
 
Sijawahi kukumbana na tatizo la nyoka. Labda ni kwa sababu huwa napulizia madawa
 
Umeona eh...nature ni tamu. Kuna kipindi nilikuwa naishi kwenye gorofa flani hivi za ofisi niliteseka sana maana hakukuwa na nafasi ya kupanda maua na mboga mboga. Mimi kuwa in contact na udongo kwangu ni burudani na tiba
Hahah
Itabidi ghorofani uwaachie Indians
Karibu tu-maintain greenish
 
Naomba mwaliko Wa kuja kutalii garden yako
 
Hongera sana.....actually ur in love with mother nature.....natamani niyaone mazingira yako.....mimi nahisi nimekuzidi
mie nahis nimewazid jaman !had najihis sipo sawa !lol !
 

shost umenizungumiza mie jaman !yaan nikiwa hata na buku narud hom na ua !uzuri napoishi maua ni cheap bas nayabeba jaman ! nitraweka hapa picha siku 1 ! mie uzur ninaishi jiran na mto bas asbh nayamwagilia weeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…