The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Ninapenda sana Maua na miti, Mzee aliniachia Nyumba na mzigo wa Maua ya kuyatunza na nimeweza, siku nilipoamua kuhama na kupangisha hiyo Nyumba kilichoniuma ni Maua yangu sikuwa na uhakika kama mpangaji atayatunza ikabidi nitafute kijana wa kuyatunza kama huduma ya ziada
Sasa hivi changamoto huko ni nyoka mzungu hana amani kabisa, hapa nilipoamia kazi ya Maua ndio inaanza rasmi afu ni sinza nadhani itakua Nyumba ya kipekee mtaani kwa Maua na miti
Sasa hivi changamoto huko ni nyoka mzungu hana amani kabisa, hapa nilipoamia kazi ya Maua ndio inaanza rasmi afu ni sinza nadhani itakua Nyumba ya kipekee mtaani kwa Maua na miti