Niliomba MUNGU MNO NA BADO NAOMBA.NIlienda kwa wachungaji mfano MCH Chegere,SEMTOMVU,mme wangu hakomi na ni only 34 yrs.mpaka akafikishe 70?nitakufa kwa pressure
Siyo kachelewa kurudi,yeye alisema asingerudi jana,kuna mda simu ikawa haipatikani kumbe alikuwa kwennye ndege kgm to mza.alipofika mwanza ikapatikana nikamuuliza akasema network.nikaweka mtego Dar.alifika Dar hiyo jana.kumbuka alise haji wiki yote hiihujalea kisa kizima kwa uwazi zaid!!! umemsikiliza mmeo kwa nini alichelewa kurudi? kakujibu nini? hata kama uliingia kwenye email yake na kukuta kuwa alipaswa kuwa amerudi..je unajua kilichomsibu huko? ...hii ni sababu hafifu sana kumuacha mmeo kama uliweza kumsameh live ulipmkamata na nyumba ndogo...kwa hili unachemka..tafakari upya...lakini pia ndoa huvunjwa na wanandoa na si mtu mwingine......
Inaelekea Dada humridhishi mpaka anamiliki tata kama wimbo wa tatu bila wa Sir Juma nature ni hatari
Pole kwa hilo ila ndoa ilinde tu..
Ulisaini kwamba mtavumiliana mpaka kifo sasa kama unataka kutengana naye wakati kifo hakijaja huoni kwamba ni hatari?
Kwa ushauri...never go to mama mkwe for ushauri au mashtaka...hakuna jipya atakalokwambia coz hawezi kwenda against his son. Atakwambia tu wanaume ndivyo walivyo...au hata baba yake alikuwa hivyo...blah,bla,blah. Kwa tabia ya mumeo you need to sit down n do the hard thinking then uamua mwenyewe nini unataka maishani kwako.Ndoa ya kanisani.mama mkwe nilimwambia akasema nisiwe narukwa moyo hata yeye aliwalea kwa taabu,BABA MKWE KIWEMBE
Inaelekea Dada humridhishi mpaka anamiliki tata kama wimbo wa tatu bila wa Sir Juma nature ni hatari
Pole kwa hilo ila ndoa ilinde tu..
Ulisaini kwamba mtavumiliana mpaka kifo sasa kama unataka kutengana naye wakati kifo hakijaja huoni kwamba ni hatari?
Mimi ni mke wa mme mmoja,tuna watoto wawili 2yrs na 10moths.Nilishamfumania live kwa small house tena chumbani nikasamehe,alishawahi tengeneza number ya kufanana na yangu akampa small hs nikasamehe.ana small hous 3 ninazozifahamu.alisafiri kwenda mkoani akasema siku zimeongenzwa.nikaingia kwenye mail yake nikakuta alitakiwa kurudi Dar jana,nipo nje ya Dar nikamtuma mdogo wangu aende air port jamaa aliingia DaR JANA.WHy ALINIDANGANYA?B'COZ ALIPAKA KUSTAY KWA ONE OF SMALL HOUses.NIMECHOKA I NEED TO MOVE ON,PLS help.AMELIE
we cantalisia vipi wewe yaani unasema tuwasubili tu humu watatokea wewe je umeshindwa kabisa cha kumwambia.Pole sana dada,kuwa na subira wataalamu watakupatia ushauri, tuwasubiri tu humu watatokea,pia mwombe mungu ktk hili kabla ya kufanya maamuzi yoyote hakuna linaloshindika mbele zake!
like father like son kumbe! Ila dada usiumie sana ungawa unaumia hiyo ni cheni ndefu inawezekana ikawa ni tabia ndani ya ukoo iliyomo ndani ya damu ya mumeo.Unachotakiwa uwemvumilivu mshirikishe sana Mungu ikibidi fanya maombi maalumu ya kuvunja laana hiyo,ili isiwapate watoto.Fuatilia ushauri mbalimbali kwa watu mbalimbali hasa wanafamilia walioishi katika ndoa miaka mingi.Ndoa ya kanisani.mama mkwe nilimwambia akasema nisiwe narukwa moyo hata yeye aliwalea kwa taabu,BABA MKWE KIWEMBE