Wapendwa mnisaidie how to move on,nataka kumdelete mme wangu parmanently

Wapendwa mnisaidie how to move on,nataka kumdelete mme wangu parmanently

SI ndo na mimi nashangaa. Jitu likicheat watu wanakimbila umridhishi; yani mimi mume wangu akicheat afu mtu anambie simridhishi ntamtwanga ngumi afu nimuulize kama huwa anarecord our love making.

Tukirudi kwenye mada; mimi naamini sana kwenye ndoa; lakini sina msamaha kwa serial cheater; nilisamehe mara moja na nilishamwambia hubby nikijua ana affair nyingine hana haja ya kuomba msamaha.

Siwezi kukusahuri uwe na msimamo kama wangu; pima uzito wa situation na uwezo wako wa kufanya maamuzi magumu.

Mianamume ya namna hiyo inani bore to the extreme.

Afu mama wakwe wote ndivyo walivyo; wanataka uendelee kuweka heshima ya mtoto wao; yeye kama alimvumilia baba yao ni yeye wa mwaka 47. This is new generation.

sasa kama huyu dada hamridhishi,na hao vimada ake watatu nao hawamridhishi si atafute mtetea ama ahamie kwa wanaume wenzie labda atapata ridhiko analotafuta? tatizo analo mwenyewe huyu mwanaume, dada mwisho wako u mikononi mwako. nakushauri take all the time u need, bt trust ur guts!
 
SI ndo na mimi nashangaa. Jitu likicheat watu wanakimbila umridhishi; yani mimi mume wangu akicheat afu mtu anambie simridhishi ntamtwanga ngumi afu nimuulize kama huwa anarecord our love making.

Tukirudi kwenye mada; mimi naamini sana kwenye ndoa; lakini sina msamaha kwa serial cheater; nilisamehe mara moja na nilishamwambia hubby nikijua ana affair nyingine hana haja ya kuomba msamaha.

Siwezi kukusahuri uwe na msimamo kama wangu; pima uzito wa situation na uwezo wako wa kufanya maamuzi magumu.

Mianamume ya namna hiyo inani bore to the extreme.

Afu mama wakwe wote ndivyo walivyo; wanataka uendelee kuweka heshima ya mtoto wao; yeye kama alimvumilia baba yao ni yeye wa mwaka 47. This is new generation.

Hiyo new generation altitude bibie so nzuri

Ni bora kuangalia tulikotoka (zamani) , tulipo na baadaye

Huenda kuna kitu tunaweza kujifunza kizuri kutoka kwenye historia
 
Sipendi kutumia UKIMWI kama kigezo cha kupinga uzinzi; lakini ngoja nikuulize; je ni wise ku stick na mtu mwenye vimada watatu na kufa in 5 years to come when your children are not even 10 years old au kuangalia ustaarabu mwingine???

Kama wewe ni mwanaume; imagine kuwa huyu ni dada yako na si mkeo; utafurahi dada yako avumilie ndoa ya player afu mumzike siku si nyingi???

Kuna mama rafiki wa mama yangu alikuwa anaambiwa mama hiyo si ndoa yeye anabakia mwanangu; mwanagu (anamtaja jina last born wake wa kiume pekee alokuwa anampeda sana) Navyoandika ameshakufa more than 10 years a go na mwanae amebaki anatanga tanga mara kwa ndugu huyu mara yule.

Huyo mama kaka zake ni watu wana pesa mbaya; na ni watu wa familia. Walimshauri dada mwanaume atakuua huyu; achana nae tutakupa mtaji uanze maisha. Yeye kakazana mwanangu; mwanangu.

Jibu sahihi naomba ni-mquote boss "Its complicated" inatosha

Fikiria huyo mama ataishi bila mwanaume mwingine? je huyo mwingine akiwa na tabia kama hiyo (ameficha) si atapata the same problem..

Jamani hayo ni situational
 
huyo ni malaya (genuine) mpe muda wa kujisahihisha 3 month ukiwa unajitahidi kuwa karibu nae kujua mapungufu yako na yake.then unajitahidi kuboresha mahali penye utata ukiona mambo yanaendelea. Mlango naomba uwe wazi kwako kukukomboa kwenye kifo
 
Mimi ni mke wa mme mmoja,tuna watoto wawili 2yrs na 10moths.Nilishamfumania live kwa small house tena chumbani nikasamehe,alishawahi tengeneza number ya kufanana na yangu akampa small hs nikasamehe.ana small hous 3 ninazozifahamu.alisafiri kwenda mkoani akasema siku zimeongenzwa.nikaingia kwenye mail yake nikakuta alitakiwa kurudi Dar jana,nipo nje ya Dar nikamtuma mdogo wangu aende air port jamaa aliingia DaR JANA.WHy ALINIDANGANYA?B'COZ ALIPAKA KUSTAY KWA ONE OF SMALL HOUses.NIMECHOKA I NEED TO MOVE ON,PLS help.AMELIE

Amelie
Just divorce his a**!!! ..............................................Du, kwani exactly what are you waiting for all this while?
Abadilike? Amrudie Mungu wake? Au Magonjwa?? Amakweli wanawake mnashangaza sometimes!!
 
Dada nakupa pole. ingawa hata mie cjaowa, lakn inaniuma. Bora kuwa hivo kabla hajakuoa. Mengi yamezungumzwa.
1. Wewe ndie wa kuamua.
2. Hatujui unampenda kiasi gani.
3. Maamuzi ya hivo huwa ni abruptly (haraka) bila mahojiano.
4. Hama chumba, ingia kulala kwa watoto kama ni wadogo, ama chumba kingine na mtoto mdogo ilhali unamwangalia kama atajirekebisha.
5. Usimwambie chochote kama ulishamwambia.
6. Amka, kula na lala kwa sala wote as a family. POLE SANA.
 
kuna mambo 2 ya kufanya: amua ubaki ndani ya ndoa na miaka isiyozidi miwili utakuwa mgonjwa kitandani (sio UKIMWI) bali ni vidonda vya tumbo, pressure ya kushuka au ya kupanda, sukari ya kushuka na magonjwa mengine ya mfadhaiko kama depression n.k na utakufa siku si zako. Pili amua ubaki na huyo mmeo na ujifanye huyaoni na usichunze kabisa nyendo zake. Mwisho katika tabia ambazo uwezekano wa kuziacha ni mdogo ni uzinzi ndio maana hata kuangalia porn tu mtu anakuwa sugu. Mwisho hata kama umefunga ndoa wewe ndiyo muamuzi mkuu wa hatima ya maisha yako so jisikilize wapi utapata nafuu ndani ya ZIZI au nje.
 
duh pole sana Amelie.

Mungu akusaidie na haya majaribu. Nitapita baadae kukupa ushauri.
 
Kama mama .usiache nyumba yako kwa hilo,ita wazazi pande zote 2.then gawaneni vyumba.ishi the same house in seperate rooms
 
Kuna kitu kingine wadada wa siku hz wanapenda sana kuolewa na akimpenda mwanaume haambiwi kitu hapo. Kwa rika la mumeo either ndio pesa imeanza kuchanganya nakujua utamu wa mabibi wa nje. Cha muhimu my dear kaa chini na mumeo muyaongee. Na usipende tabia ya kumchunguza bata anakula nn hakika hutamla. Kingine lea watoto wako
 
Pia kaa ujichunguze, isije ubize wako na mabadiliko ya tabia zako ndo chanzo,jipime,jichunguze wewe mwenyewe,je mkiachana una hakika ya kupata mume mwaminifu kwa 100%.why ilikupenda mkaoana then just ameanza deal na vimada? What went wrong between you two?
 
Yaani kwa maisha haya najaribu tu kuwaza sana

Tatizo letu Watanzania ni kwamba hatuwezi kuchukua maamuzi magumu.....Wezi tumeshawakamata na evidence ambazo hazina shaka lolote lakini tunaendelea kukenua kenua meno...We are miserable losers!

Kama hapa kungekuwa na ndoa nisingekosa ushauri....!!
 
Pole sana dada, Usiondoke kwa huyo mwanaume,
Kama mmefunga ndoa, ww mpotezee tu ili msaidiane kulea
Watoto, kama unafanya kazi kuwa bize na kazi, kuhusu sex mkapime then mtumie condom maana atakuletea gonjwa huyo, wanaume huwa hawafikirii watoto kazi ni kufungua zipu tu, mpotezee huyo
 
Pole sana sista ila kumbuka dawa ya moto ni moto
 
Hili li thread limenikera sana,

Yaani mtu aone ushahidi gani ili achukue hatua????

Halafu sie tunampa pole mwenzetu na kumwomba avumilie. Tungekuwa sisi tungevumilia huo uchafu wote???

Bado naamini hapa hakuna ndoa......Kuna mtu ama analazimisha mapenzi au hajitambui!
 
ukimwacha njoo kwangu am here for divorced women!!
 
I realy feel you and understand the situation your in and im realy sorry ......umeshauriwa mengi dada ila pamoja na yote usiache kusali tumia maandiko matakatifu...omba ulinzi kwa familia yako soma zaburi ya 35 sambaratisha kila maroho kutoka kwa kizazi cha mumeo na haribu kisiingie kwa watoto wako ..im sure usipovunja ..baada ya miaka 30 utaletewa kesi na wakwe zako na wewe utajibu kama mama mkwe wako anavyokujibu leo kuwa hata baba yake alikua hivyo.....mwanamke ni jeshi kubwa ..

Pia Mungu ameumba jambo jipya mwanamke atamlinda mwanaume..no one ana uchungu naye kama si wewe mama yake hawezi mbadilisha yupo aliyemfinyanga naye anajihusisha sana na mambo yako ...you just have to pray nakuombea uchungu wako uondoke amani upendo vicheko virudi ndani ya nyumba yako in Jesus name
 
Back
Top Bottom