nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
SI ndo na mimi nashangaa. Jitu likicheat watu wanakimbila umridhishi; yani mimi mume wangu akicheat afu mtu anambie simridhishi ntamtwanga ngumi afu nimuulize kama huwa anarecord our love making.
Tukirudi kwenye mada; mimi naamini sana kwenye ndoa; lakini sina msamaha kwa serial cheater; nilisamehe mara moja na nilishamwambia hubby nikijua ana affair nyingine hana haja ya kuomba msamaha.
Siwezi kukusahuri uwe na msimamo kama wangu; pima uzito wa situation na uwezo wako wa kufanya maamuzi magumu.
Mianamume ya namna hiyo inani bore to the extreme.
Afu mama wakwe wote ndivyo walivyo; wanataka uendelee kuweka heshima ya mtoto wao; yeye kama alimvumilia baba yao ni yeye wa mwaka 47. This is new generation.

sasa kama huyu dada hamridhishi,na hao vimada ake watatu nao hawamridhishi si atafute mtetea ama ahamie kwa wanaume wenzie labda atapata ridhiko analotafuta? tatizo analo mwenyewe huyu mwanaume, dada mwisho wako u mikononi mwako. nakushauri take all the time u need, bt trust ur guts!