Kama ataifikisha kwa jinsi anavyo fungua zipu na wasiwasi nae sana,dada kutendwa kunauma sana,ila nakushauri utulie sana ndo uchukue maamuzi,kwanza fikiria watoto, maisha yao na elimu yao,hivi unakazi? na hiyo kazi inaweza kukusuport wewe na hao watoto?je maisha ya hao viumbe itakuwa salama?basi ukisha hakiki hayo unaweza kuachana na huyo mzinziNiliomba MUNGU MNO NA BADO NAOMBA.NIlienda kwa wachungaji mfano MCH Chegere,SEMTOMVU,mme wangu hakomi na ni only 34 yrs.mpaka akafikishe 70?nitakufa kwa pressure
I realy feel you and understand the situation your in and im realy sorry ......umeshauriwa mengi dada ila pamoja na yote usiache kusali tumia maandiko matakatifu...omba ulinzi kwa familia yako soma zaburi ya 35 sambaratisha kila maroho kutoka kwa kizazi cha mumeo na haribu kisiingie kwa watoto wako ..im sure usipovunja ..baada ya miaka 30 utaletewa kesi na wakwe zako na wewe utajibu kama mama mkwe wako anavyokujibu leo kuwa hata baba yake alikua hivyo.....mwanamke ni jeshi kubwa ..
Pia Mungu ameumba jambo jipya mwanamke atamlinda mwanaume..no one ana uchungu naye kama si wewe mama yake hawezi mbadilisha yupo aliyemfinyanga naye anajihusisha sana na mambo yako ...you just have to pray nakuombea uchungu wako uondoke amani upendo vicheko virudi ndani ya nyumba yako in Jesus name
sina HIV,Yeye huwa anajiamini hawezi kufa kwa HIV Kamwe.Kama uyasemayo ni kweli (kuwa ana small house tatu), kapime mpendwa, ukiona uko poa ... Chukua maamuzi magumu, atakuua!
Mimi ni mke wa mme mmoja,tuna watoto wawili 2yrs na 10moths.Nilishamfumania live kwa small house tena chumbani nikasamehe,alishawahi tengeneza number ya kufanana na yangu akampa small hs nikasamehe.ana small hous 3 ninazozifahamu.alisafiri kwenda mkoani akasema siku zimeongenzwa.nikaingia kwenye mail yake nikakuta alitakiwa kurudi Dar jana,nipo nje ya Dar nikamtuma mdogo wangu aende air port jamaa aliingia DaR JANA.WHy ALINIDANGANYA?B'COZ ALIPAKA KUSTAY KWA ONE OF SMALL HOUses.NIMECHOKA I NEED TO MOVE ON,PLS help.AMELIE
Mimi ni mke wa mme mmoja,tuna watoto wawili 2yrs na 10moths.Nilishamfumania live kwa small house tena chumbani nikasamehe,alishawahi tengeneza number ya kufanana na yangu akampa small hs nikasamehe.ana small hous 3 ninazozifahamu.alisafiri kwenda mkoani akasema siku zimeongenzwa.nikaingia kwenye mail yake nikakuta alitakiwa kurudi Dar jana,nipo nje ya Dar nikamtuma mdogo wangu aende air port jamaa aliingia DaR JANA.WHy ALINIDANGANYA?B'COZ ALIPAKA KUSTAY KWA ONE OF SMALL HOUses.NIMECHOKA I NEED TO MOVE ON,PLS help.AMELIE
Umeanza........Nadhani anatumia mtandao wa tiGo huyo! Hebu zungumza naye
Hizi ni nyakati za mwisho, tutafanya uovu lakini siku moja itaisha. Naomba uwe mtulivu, kama kweli hii shida unayo ebu mwambie Mungu akupe moyo wa uvumilivu. Sisi tukianza kusema hapa tuliyonayo nafiikiri utampenda mumeo sana na kuona yake ni nafuu. Sasa basi shika kilicho chako, komaa nae, mwambie nakupenda sana mume wangu hata kama wewe hunipendi unaenda kwa nyumba ndogo zako.
Nikwambie the way tunavyosurubika na hawa wanaume huku kitaa ungemshika wako vizuri usimwache mumeo (hakuna kama yeye). . Ebu angalia wapi unakosea maana tunaongea mengi lakini tukija kwenye ukweli unakuta sisi ni vyanzo. Hata wewe siyo mwema/mzuri sana. Omba kwa ajili yako, ujisamehe, msamehe mwenzio maana bila hivyo hutasamehewa.
Utavunja ndoa yako kwa kosa dogo ambalo utajuta siku zote na itakuwa aibu kuwaelezea watu baada ya kuachana, ulimfumania unajua ananyumba ndogo tatu ukamsamehe, sasa unataka kuvunja ndoa kwa kukudanganya siku ya kurudi au kwa makosa ya nyuma?
Nashukuru,wakati mwingine najiuliza hivi Mungu yupo kweli?
mfomart ila hakikisha una back up copy a.k.a kidumu