Wapendwa naona kama mwisho wangu umekaribia

Wapendwa naona kama mwisho wangu umekaribia

Status
Not open for further replies.
Apumzike Kwa Amani
Raha Ya Milele, Umpe Ee Bwana
Na Mwanga Wa Milele Umwangazie
AApumzike Kwa Amani
 
"Umehitimisha safari yako hapa duniani, lakini roho yako itaendelea kung’aa milele. Lala salama."
 
Pole Mkuu bado una pakuanzia. Chukua mkopo weka dhamana nyumba. Walau million tano. Swala la ufanye biashara gani ni swala lingine. Pia jiungamanishe kwenye maombi huko sijui Mwamposa sijui nani hukoo.
Ameshafariki huyu ndugu,

Daah! Apumzike kwa Amani!
 
Aiseee ni huyu jamaa Mjasiri mali? 😢😢😢 Ali nicheki PM kuomba kama kuna mishe, na kwenye uzi wake nilimshauri sana. Duh sonona imemshinda na nimeamua kuukatisha uhai wake.

Ni kweli binadamu tumetofautiana namna ya kushughulika na changamoto halafu mbona ile changamoto aliyoipitia ni ndogo sana? Naamini changamoto yake ni changamoto nilizozipitia naamini ni mara 100 au zaidi.

Aisee Ndugu zangu tuishi vizuri na watu haijalishi una hadhi gani na kipato cha namna gani.

Pumzika kwa amani mjasiri na mali 🕯️💔
 
Sidhani kama kuna haja ya wewe kusema alikufata pm kuomba mishe ya kufanya.
 
Mleta taarifa ya msiba alisema amepewa taarifa na kaka wa marehemu na mawasiliano akaweka.
Mods kuna kipindi wanakuaga kama mwezi mchanga
Kwanini ule uzi mwingine umefutwa?

Hii nchi ina heka heka sana huu mwaka
Mods wanakuwaga na mambo ya kiwaki sana halafu muda mwingine ma threads ya hovyo na ya kizushi huwa wanayaacha tu.
 
Sidhani kama kuna haja ya wewe kusema alikufata pm kuomba mishe ya kufanya.
Mbona ni kawaida sana sio kuomba ni kuulizia kama kuna mishe, na Mimi nilishangaa kwanini mtu haujui na hamfahamiani anakuja na wazo kama hilo?

Baada ya muda ndio nikaona ule uzi wake. Sina maana mbaya labda wewe ndio ume tafsiri vibaya tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom