Wapendwa nimeshikwa na ugonjwa wa ajabu, Sura yangu imeharibika

Loo dada angu sura yangu niianike hapa tena daah
Itakua ngumu maana sina tabia ya kupiga picha hovyo picha zilizopo ni za mwezi wa 7,8
Huu uandishi wako pamoja na kuweka avatar za kike unazua maswali mengi sana upande wangu!!
 
Ni vema ukawahi hospital ukapimwe huko tatizo litajulikana
 
Tuma picha
 
Tumia mafuta ya masega ya asali,yanasaidia xana magijwa ya ngozi
 
Matatizo unatakiwa kwenye immune system, ukimuona dr upime damu.
 
We paka petroli halafu washa uso kwa sekunde 10 tia uso kwenye pipa utakuwa sawa.
 
Tumia creme ya betasol unaweza kuitumia yenyewe au kuchanganya na lotion ya bei rahisi ni dawa tosha ili kujiepusha kuwa mweupe unatakiwa uchanganye na lotion isio na chochote kama clere , coconut yaani ya bei isiyozidi 2000 then ndani ya wiki utanipa mrejesho yaani unapona huku ukiwa soft na kungaa ukiona umepona unaachana nayo na hutasikia tena ugonjwa huo unakusogelea nakuonea huruma sana ndugu but hiyo ni dawa isiyo na gharama shiling 700 inauzwa ipo mpk phamacy
 
Mi sikumbuki kama uliwah kuwa pretty toka nakufaham kipindi kile unasoma shule mtambani.so huo ugonjwa uliupata toka tumboni mwa mama yako. Anyway usihangaike na uzuri wa sura dada. Una tabia nzuri? Unaweza chezesha kiuno? Huko chini msafi? Kuna wanaume hawaangalii sana sura.so hilo lisikupe shida sana. Jiheshimu be a good woman utapata tu mwenza. Pole sana dada yangu. Sasa nmeelewa kumbe sometime unakuwa umeathirika kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…