Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndipo tulifikia sasa watoto wa kiume wanataka kuonekana kama wa kike!! Yaani mwanaume unaogopa kutoka nje kisa sura ina upele?? Aisee!! Haf avatar yako ya kike!! Astaghfilullah!! Dunia inaelekea pabaya sasa!!..
Ahsante sana dear..Mimi ni maji ya kunde so isije kua inanikrimu nikawa mweupe..
BTW Ahsante sana kwa ushauri nitaufanyia kazi..