K kengeblue JF-Expert Member Joined Dec 25, 2015 Posts 505 Reaction score 213 Nov 23, 2017 #41 Pakaa au sugua mafuta ya breki
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,541 Reaction score 2,187 Nov 23, 2017 #42 Huo ni Mkanda wa JWTZ, ........pigia mstari
atlas copco JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 8,497 Reaction score 9,728 Nov 23, 2017 #43 kalagabaho said: Ndipo tulifikia sasa watoto wa kiume wanataka kuonekana kama wa kike!! Yaani mwanaume unaogopa kutoka nje kisa sura ina upele?? Aisee!! Haf avatar yako ya kike!! Astaghfilullah!! Dunia inaelekea pabaya sasa!!.. Click to expand... Ndio sababu huyo jamaa hapo pembeni ya Raila anawaumiza sana wtt wa kiume huko Zanzibar,mwanaume anataka awe na sura nzuri?!,...
kalagabaho said: Ndipo tulifikia sasa watoto wa kiume wanataka kuonekana kama wa kike!! Yaani mwanaume unaogopa kutoka nje kisa sura ina upele?? Aisee!! Haf avatar yako ya kike!! Astaghfilullah!! Dunia inaelekea pabaya sasa!!.. Click to expand... Ndio sababu huyo jamaa hapo pembeni ya Raila anawaumiza sana wtt wa kiume huko Zanzibar,mwanaume anataka awe na sura nzuri?!,...
atlas copco JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 8,497 Reaction score 9,728 Nov 23, 2017 #44 Gentries said: Ahsante sana dear..Mimi ni maji ya kunde so isije kua inanikrimu nikawa mweupe.. BTW Ahsante sana kwa ushauri nitaufanyia kazi.. Click to expand... Huu uandishi unatia mashaka sidhani kama umeandikwa na mwanaume rijali,...
Gentries said: Ahsante sana dear..Mimi ni maji ya kunde so isije kua inanikrimu nikawa mweupe.. BTW Ahsante sana kwa ushauri nitaufanyia kazi.. Click to expand... Huu uandishi unatia mashaka sidhani kama umeandikwa na mwanaume rijali,...