Wapeni Milioni 600 yao mliyowaahidi Wakimfunga 'Juaeni Juaneni' halafu Kipa 'Manua Manua' aache kutumika mno na MSG Kuiumiza Timu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Halafu mnaficha nini kuwa jana baada ya Mechi Kocha kamtukana Tusi Tukuka Jaribu Baadae kwa Upuuzi wa kutowapa Fedha zao Wachezaji walizoahidiwa na zilizowavunja Moyo na kwa Makusudi wakaamua Kutuumiza?

Bosi Magugu Magugu safari hii wala hausiki na Kipigo hiki kwani anaangushwa na Mnafiki Jaribu Baadae ambaye si Mtu mzuri kwa Klabu na ni Kirusi HATARI klabuni kuliko hata kile cha HIV.

Najua kuwa Siku za Ben Naachika ndani ya Fred Jobe Hovyo Hovyo SC zinahesabika na tayari Dalili tumeshaanza Kuziona.
 
Wamupige mawe, wakupige ngumi, au wakutemee mate lakini huyo Jaribu baadaye ni kirusi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moyo wangu huwa unajaa furaha sana hasa nikisikia habari mbaya zinazoihusu Simba.
Jitafakari inaweza Kuwa unashida sehemu inaweza Kuwa kwenye ubongo wako,Yanga wanapaswa kuiombea Simba isimame na Simba inapaswa kuiombea Yanga isimame vyema.Licha ya Makando kibao ikwemo fitna,Shiriki lakini ndio kielelezo Cha soka la Tanzania.Wale wa Chamazi hata wafanyaje hawawezi vaa viatu vya Yanga na Simba.
 
ndio mpira ulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…