Wapeni wanawake pesa, acheni kujiliza

Iyo user name tu isikutishe nina vimishe mishe vya hapa na pale, masuala ya kujitegemea, kutunza mke na bata ndogo ndogo uwezo upo. Kama una mdogo au mtoto wa kike tunaweza kufanya jambo muhimu tu awe virginity, productive and submissive.
Mtoto wangu hawezi kuwa submissive hata siku moja...haitawezekana.
 
Mtoto wangu hawezi kuwa submissive hata siku moja...haitawezekana.
Sawa.. muhimu mfundishe binti maadili mema akija kuwa submssive au activist katika mahusiano yake basi iwe ni kwa utashi wake binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…