Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Mtoto wangu hawezi kuwa submissive hata siku moja...haitawezekana.Iyo user name tu isikutishe nina vimishe mishe vya hapa na pale, masuala ya kujitegemea, kutunza mke na bata ndogo ndogo uwezo upo. Kama una mdogo au mtoto wa kike tunaweza kufanya jambo muhimu tu awe virginity, productive and submissive.