Wapeni wanawake pesa, acheni kujiliza

Wapeni wanawake pesa, acheni kujiliza

Wakuu hii sauti inatosha au?

Picha husika imeambatishwa.View attachment 3047882


Kufanya mapenzi ni kama kula Chakula .

kufanya mapenzi au kula chakula sio ajira.

Watu wote waumbiwa kazi na kuzalisha mali upate kula.

Tangu enzi za mababu binti ili aolewe kigezo Mojawapo ilikuwa ni uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kuzalisha mali.
Ukiwa binti mvivu huolewi 👌👌👌
 
Wakuu hii sauti inatosha au?

Picha husika imeambatishwa.View attachment 3047882

Kudanga na Umalaya ni kwa muda na siku hizi awareness ya wanaume kugundua kuibiwa Hela zao kwa njia ya ulaghai wameanza kustuka.
K zenyewe hazina maajabu 😏😏
N mkiwaroga wengine siku hizi wameshaanza kustuka nao wanaenda kuaguliwa kuondoa mauchawi yenu.
 
Wakuu hii sauti inatosha au?

Picha husika imeambatishwa.View attachment 3047882


Wanaume wanarogwa sana tema kuanzia kwa wake zao wa ndoa hadi michepuko.
Kama mkeo kipato chake hana Uhuru wa kiuchumi wa kuweza kulipia ada za watoto za Shule zile za mamilioni,
Kama mkeo hana uwezo wa kupia Appartments maeneo prime ya kuanzia milioni 2 nakuendelea kwa mwezi,
Kama mkeo hana Mungu moyoni chances za kikuroga mara kwa mara ili usigikirie
Kumuacha ni kubwa sana.
 
Wakuu hii sauti inatosha au?

Picha husika imeambatishwa.View attachment 3047882


Mama wakwe wengi ndio mentors wao Kwamba usipomroga Mwanaume michepuko itakusaidia kumroga 👌👌
Natamani jamii ujue hila mbaya iliuopo
Mioyoni mwa wanawake kuua wanaume zao.

Ndio maana ndugu wa mume huwa hawaelewani na mke sababu wanajua hila na ubaya ndugu yao anaofanyiwa na mkewe na michepuko
 
Wakuu hii sauti inatosha au?

Picha husika imeambatishwa.View attachment 3047882


Kuna mwanamke juzi kati ilikuwa mumewe amuue kwa kipigo baada ya kukuta uchawi kwenye Chakula ,
Halafu binti mdogo wa Mwaka 2000

Alimpa kipondo flesh akatafuta vijana wakambeba mzobemzobe akawaagiza wakamgupe kwa baba yake kisha wamtupie kalatasi la talaka 3 mlangoni kwa baba yake.

Nikamwambia yule Mwanaume una bahati kwa kiwa mwili wako una nguvu umeona
, wenye miili miepesi wangekula hadi
Mwisho nilamkujua kuna uchawi humo wamkuwapumbaza akili
 
Ni kweli. Ndio mana nape amedata baada ya kutumbuliwa. Mana pesa za kuhonga vidosho atapata wapi ..
 
Back
Top Bottom