Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
match ilikuwa live kwa kuhadithiwa kupitia Simba appl.
Kweli Ubaya umbumbumbuUmehamia Simba msimu huu?
Yaani hadi Simba appl unayo?
Wewe ndiye shabiki unayesababisha sisi Yanga fans tuonekane tuna tatizo la afya ya akili.
Umehamia lini huko?Kweli Ubaya umbumbumbu
Mmm! Kazi ipo! Hilo tusi linaenda kwa timu, au aliyekuwa anatutangazia kwa maandishi?Yaani Chasambi alifanyiwa Sub off halafu akarudi tena uwanjani kufunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hii timu ya kitapeli qmmmke kila kinachofanyika usaniii tu [emoji706]
Acha umbumbumbu wewe,kwani taarifa zote zinazoletwa na mashabiki wa Simba kuhusu Yanga au timu nyingine wao ni wanachama wa hizo timu au hawawezi kupata taarifa kutoka kwa mashabiki wa hizo timu?Umehamia lini huko?
Matapeli wore wanaosababisha Simba ionekane timu ya kitapeliMmm! Kazi ipo! Hilo tusi linaenda kwa timu, au aliyekuwa anatutangazia kwa maandishi?
Teh teh teh kweli Ubaya Umbumbumbu,ila hatuwashangai ndio wakati wenu huu wakufurahi na kujipa matumaini ligi ikianza mnaanza kumtukana Mzee wetu Mangungu na kumwita msaliti.Msimu huu tunawapiga na kitu kizito. Mlizoea kujichotea habari za ndani ya Simba mnavyotaka, ndiyo maana mnalilia sana mechi zake za kirafiki ziwe live. Mnaogopa kifuatacho ITV
Teh teh teh kweli Ubaya Umbumbumbu,ila hatuwashangai ndio wakati wenu huu wakufurahi na kujipa matumaini ligi ikianza mnaanza kumtukana Mzee wetu Mangungu na kumwita msaliti.
Wewe ndiye mbumbumbu, ungekuwa na afya nzuri kiakili ungeleta hapa mjadala wa ushindi mnono tulioupata kile sauzi jana.Acha umbumbumbu wewe,kwani taarifa zote zinazoletwa na mashabiki wa Simba kuhusu Yanga au timu nyingine wao ni wanachama wa hizo timu au hawawezi kupata taarifa kutoka kwa mashabiki wa hizo timu?