Wapenzi na wanachama wa Simba tunaomba jibu kwenye hili

Wapenzi na wanachama wa Simba tunaomba jibu kwenye hili

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Jana imefanyika match ya kirafiki huko Misri kati ya Simba zidi ya Telecom, match ilikuwa live kwa kuhadithiwa kupitia Simba appl. Dakika 71 anatoka Chasambi anaingia Onana,chakushangaza dakika 88 Chasambi anaifungia Simba goal la ushundi. Je kuna Chasambi wangapi Simba?
 
Attachments

  • FB_IMG_17222421704531755.jpg
    FB_IMG_17222421704531755.jpg
    148.5 KB · Views: 2
Yaani Chasambi alifanyiwa Sub off halafu akarudi tena uwanjani kufunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Hii timu ya kitapeli qmmmke kila kinachofanyika usaniii tu [emoji706]
Mmm! Kazi ipo! Hilo tusi linaenda kwa timu, au aliyekuwa anatutangazia kwa maandishi?
 
Msimu huu tunawapiga na kitu kizito. Mlizoea kujichotea habari za ndani ya Simba mnavyotaka, ndiyo maana mnalilia sana mechi zake za kirafiki ziwe live. Mnaogopa kifuatacho ITV
 
Umehamia lini huko?
Acha umbumbumbu wewe,kwani taarifa zote zinazoletwa na mashabiki wa Simba kuhusu Yanga au timu nyingine wao ni wanachama wa hizo timu au hawawezi kupata taarifa kutoka kwa mashabiki wa hizo timu?
 
Msimu huu tunawapiga na kitu kizito. Mlizoea kujichotea habari za ndani ya Simba mnavyotaka, ndiyo maana mnalilia sana mechi zake za kirafiki ziwe live. Mnaogopa kifuatacho ITV
Teh teh teh kweli Ubaya Umbumbumbu,ila hatuwashangai ndio wakati wenu huu wakufurahi na kujipa matumaini ligi ikianza mnaanza kumtukana Mzee wetu Mangungu na kumwita msaliti.
 
Acha umbumbumbu wewe,kwani taarifa zote zinazoletwa na mashabiki wa Simba kuhusu Yanga au timu nyingine wao ni wanachama wa hizo timu au hawawezi kupata taarifa kutoka kwa mashabiki wa hizo timu?
Wewe ndiye mbumbumbu, ungekuwa na afya nzuri kiakili ungeleta hapa mjadala wa ushindi mnono tulioupata kile sauzi jana.

Mie nataka tu useme ukweli je umehamia mikia fc msimu huu?
 
Back
Top Bottom