Wapenzi wa dini tofauti

Wapenzi wa dini tofauti

Nijuavyo mimi kwa wakatoliki wanaruhusu ndoa za madhehebu mbalimbali (ndani ya ukristo) na hii haihitaji process ndefu ni suala la kumwona Paroko tu atakueleza. Vilevile wakatoliki wanaruhusu ndoa za dini mbalimbali (mkristo na siye mkristo) na anatoa ruhusa askofu wala process siyo ndefu. Ni suala la paroko kuongea na askofu tu. So bado mnaweza kuoana tu kihalali isipokuwa wenzetu kidogo wanapenda kushinikiza (kadili nilivyoexperience) anayetaka kumuoa anu kuolewa na nao abadili imani yake ya kidini.

Nakushauri sana kama mdogo wanu ubaki na imani yako, ninahakika ushapewa kipaimara na kuimarishwa. mshauri mwenzio akitaka kuolewa nawe basi abaki na imani yake na we yako, au kama atakubali kubadili basi abadili (kwa uamuzi wake). Zaidi ya yote mtangulize na mwogope Mungu daima kwa kila ulifanyalo!

Hii si kweli...rejea kwenye reds yaani wakatoliliki huwa wanaruhususu watu kufunga ndoa ya kikatoliki kama mkiwa ndani ya ndoa kwa muda yaani ndoa ya kitamaduni lakini huyo mkuu yeye hata wazazi hawajui hivyo yupo under process tu kwa hiyo kwa kumsaidia ni kwanza atoe utata wake wa kimawazo kumwacha siwezi na kubadili dini siwezi inshort hasaidiki kuliko kumjaza ujinga....usichangie kuua mtoto wa nyoka ni nyoka tu.

i was born with it and not without it
 
Mie sikushauri ubadili dini..Lakini mwisho wa siku moyo wako ndio mwamuzi

ukweli firstlady1 ni huu.....moyo wa huyu mkuu unatakiwa usafi na sabuni na maji ni sisi hakuna mwisho wa siku hapa ....huyu mkuu kwanza ni church absconder na huu ni ukweli na kama siyo inakuwaje mtu una umri wa miaka 24 usijue hata mizizi ya dhambi kweli? au ndiyo kusema hata mtaani hawasikii watu wakisema huezi kutumikia mabwana wawili...mpenzi simwachi na dini sibadili...ana matatizo kwenye certain icon...moyo hapa hauna nafasi ya kuamua na kuacha kazi muhimu ya kusukuma damu.

I was born with it and not without it.
 
Kama unasoma chuo kikuu nenda tu hapo kwa Paroko atakushauri maana naye wazazi wake walikuwa waislamu wazuri tu. Padre Mbiku ni Mtaalamu sana wa haya mambo ila najuaavyo kanisa katoliki linaamini kwenye uokovu wa mtu si ndoa kwa hiyo kuna ndoa za Wakatoliki na watu wasio wakristu kabisa.
 
naomba source ya hii information.

Unahitaji source au unahitaji kujua ukweli nimeupata wapi??ila ukweli ndio hivyo lazima mwanamke abadili dini kwa desturi na sio mwanaume!!
 
Si kweli mwanamke wa kiislam hana dini. Usitake mengine humu kisha mseme mambo ya udini. Kwanza sijaona ukristo unasema muoane. Hata Yesu hakuoa!
Mapadre hawaoi. Sijui mnaoana kumfuata nani?

Katika kuoa YESU hajasema msioe kama mimi.
Paulo alielekeza kama mnaweza iweni kama mimi(Paulo)la kama hamuwezi oeni.
Rejea swahiba wa mtume Abuhureira(aka baba wa mapaka)hakuoa kama alivyo oa mtume wake Mohamad kwa akili zako atakuwa mpingaji(kafir)!
 
inawezekana umesema kwa kuwa hujui......
malizia hata paulo hakuoa ila alisema ikishindika na kila mtu awe na mwenza (kutokana na tamaa za mwili)from the bible.
Samahani! Usinijb kwa jazba humu tunaeleweshana.
Paulo muuaji sana. Pia hawezi kua hoja... Wewe hujanijibu swali langu...nyie wakristo mnaoa kumfuata nani? Mafundisho nani kawaambia muoe/kuoana? Weka na ushahidi wa andiko hapa.
 
Katika kuoa YESU hajasema msioe kama mimi.
Paulo alielekeza kama mnaweza iweni kama mimi(Paulo)la kama hamuwezi oeni.
Rejea swahiba wa mtume Abuhureira(aka baba wa mapaka)hakuoa kama alivyo oa mtume wake Mohamad kwa akili zako atakuwa mpingaji(kafir)!
Naamini hata paulo humjui...
Labda nianzie hapo kwa muuaji paulo...paulo ni nani kwenye imani yako?
Ukafiri maana yake hujui...kutooa katika uislam si ukafiri. Inategemea huoi kwa sababu zipi? Labda useme hakuna kuooa katika uislam.Hapo utakua umeipinga hiyo ruhsa ya kuooa.
 
Hukuzaliwa unaujua uislamu bali kuna walimu wamekufundisha tena kwa bakora. hivyo basi umeambukizwa roho ya upofu hadi kwa mawazo yako una yakini kwamba kila aliyeua ana hatia kwa maana hakuna ghufiira.
Paulo ni mtume aliyetumwa na Bwana yesu sisi hatuna shaka wewe mwenye shaka tueleze kwa mujibu wa mwalimu wako kuna mitume wangapi, ambapo Prof Paul hayupo.
Kuhusu maamrisho ya kuoa umebaki kama mtoto analilia pipi, ulijenga swali kwamba Yesu hakuoa hivyo basi tunahalifu kwa kuoa. ndipo nikakupa mf wa abu hureira ambaye alikuwa swahaba kipenzi wa mtume wenu hadi akawa anamuita baba wa mapaka! kafa bila kuoa ina maana amempinga Mungu wenu na mtume?
Kuhusu tafsiri ya neno kafir mnakuza kama vile neno la ajabu basi soma kamusi ya kiswahili pia munjid kamus kwa faida yako.
Mwisho mtume wako alikuamrisha kwamba, "...kama unayo shaka na haya tuliyo kuteremshia waulize wasomao vitabu kabla yako."
 
Usiwe hofu utapewa majibu na utaridhika kwa ushahidi.
Paulo umesema alitumwa na Yesu. Nae Yesu alikua nani?
Pia hujanijibu mnaoa kumfuata nani? Unaleta maneno ya ujanja tu.
Pia nmesomeshwa dini tafauti na unavyojua.
Binadam wote wanazaliwa ni waislam. Na ndio maana wakiristo wanabatizwa ili kuwa makafir.
Suala la kuoa nmekujibu. Na ukafiri pia.
 
halafu si baba wa mapaka!
Katika lugha ya kiarab kuna ufundi mkubwa...hirru=paka...hurayra=paka mdogo(kwa upole na upendo) kama ukisema Bun/ibnu=mtoto....Bunayya=mtoto kipenzi. Aliitwa vile kutokana na upole wake kwa paka huyo. Na jina hilo halikumuudhi.
Uliza zaidi upewe maana.
Paulo hawezi kua mtume na hapo ndipo nataka nkupe shule.
 
Hukuzaliwa unaujua uislamu bali kuna walimu wamekufundisha tena kwa bakora. Paulo ni mtume aliyetumwa na Bwana yesu sisi hatuna shaka."[/QUOTE/]"
Leo nataka ujue yafauti yangu naww.
Paulo anasema hafai kuitwa mtume...soma 1wakor 15:9.
 
Mgen!
Halafu hii ndio kazi ya huyo muuaji wenu paulo.
Soma 1 wakor 9:14.
 
Umeongea mambo mengi ya kukaririshwa nina hakika kabisaa ambayo huna yakini ya tafakuri yake!
mf; Umesema kila mtu amezaliwa muislam bali anakufurishwa kuwa mkisto! hebu tutafakari, hivyo basi muislamu wa kwanza ni Adam.
Adamu aliamrishwa na Mungu kwamba afanye kile na hiki asifanye.
Hakutii bali alitii maamrisho ya shetani.
Mungu akamuadhibu.
Kwa ujuzi uliokaririshwa huo ndio uislamu Kutotii maamrisho ya mungu kama ni hivyo basi sina sababu ya kuwa muislamu pole sana!

Maandiko ya Paulo Ukisoma kama usomavyo gazeti la nipashe utakufa kiroho.
Mf;Mpenzio amekuandikia barua kwamba anakupenda hadi moyo unaenda mbio na usingizi hapati wewe utajua tu kweli upenzi wetu umekithiri.
Barua hiyo akiipata daktari atajua dhahir weye waumwa na atakuandikia dawa.
Ndiposa Prof Paulo anapokujuza kwamba 'Andiko linaua bali roho inahuisha' hivyo ndivyo maandiko yalivyo kuua.
Mwanangu ilimu ya dini imekupiga chenga! hivyo basi,
Mshauri mtoa topic tu asiende kwenye uislamu itakuwa la maana tu,
Na MUNGU wetu atakubariki.
Maana hata uislamu unawatahadharisha kwamba kama huna ilimu ya dini usiijadili usije ukakufuru dhahir eeh mwanangu.
 
ha ha ha!
Kweli huna hoja!
Maswali nimeuliza hujibu unaongea maneno ambayo nmetoa baada ya maswali....kweli maajabu.
Narejea tena kukuuliza..
1-aliemtuma paulo ili awe mtume wako...nae alikua na cheo gani?
2-nyie wakiristo mnaoa kumfuata nani?
Nmekuwekea ushahidi wa kitabu chako unachokisoma paulo amekataa yeye mwenyewe hafai aitwe mtume...ajabu wewe na wenzio mnang'ang'ania ni mtume!! Huoni uelewa wenu una utata!. Lete hoja za maandiko member sio mifano ya mawazo yako. Hata me ninazo hoja za mawazo yangu lakini hapo si mahala pake.
Pia nmekuwekea lengo la paulo kuieneza hiyo dini yake.
Utaelewa japo kdg kdg!
Mmezoea kujadili mambo ya imani kwa jazba badala ya kutafakur.
 
jf bana topic ishadumbukia kwenye majizibano ya dini
 
Hapa nahisi tunachangia kwa ushabiki wa kidini. Ni kweli dini ina nafasi kubwa katika jamii husika, lakini linapokuja suala la mapenzi ya kweli, dini inabaki kuwa ushabiki tu kama ulivyo ushabiki wa mpira au chama. Ikiwa mnaweza kuishi ikiwa kila mtu anashabikia timu yake au chama chake, kwa nini isiwe hivyo hivyo kwa dini? Kwa nini humwambii mwenzako abadili timu au chama na umwambie abadili dini?

Inapofikia wakati mmoja anataka kumbadilisha mwenzake dini, hapo hakuna mapenzi ya kweli bali mapenzi katika dini. Ikiwa mtu hawezi kuishi nawe kwa sababu ya dini au imani yako, hakufai huyo. Binfsi sioni sababu kwa nini mwanamke amtake mume abadili nini, au mwanamume atake kumbadilisha mwanamke eti kwa sababu tu yeye ni mwanamume. Kama ambavyo si lazima katika 6X6 kulala mkao mmoja tu, mmoja juu mwengine chini, mnaweza kulala ubavu na mambo yakaena sawa.

Kijana, ikiwa haiwezekani kuishi pamoja kila mmoja na dini yake, (pendekezo langu) bakia na dini yako, wala usifanye kosa la kumtaka abadili dini yake.
 
Ma'alim Jumar na Mgen, mada yenu kweli nzuri, lakini ninawaomba muende Mto wa Mbu, hapa tupeni nafasi tuchangie mada ya ndoa kama ilivyoletwa.
 
Mimi ni kijana mkatoliki mwenye miaka 24 nina soma chuo mwaka wa tatu,mpenzi wangu ni muislamu anaelimu ya kidato cha nne kwa sasa anaishi na wazazi wake, mausiano yetu ni takribani miaka 2, ktk mazungumzo yetu ananitaka nibadili dini,ila mimi sijalizungumzia hilo kwasababu wazazi wetu wote hatujawafahamisha ila tuna mpango.kubadili dini siwezi na mpenzi wangu siwezi kumuacha,nina pata utata sana, hata sijui nifanyeje ndg zangu?

Vijana wa kikristu wanapobadili dini kwa minajili ya kuoa ama kuolewa, wengi wao hubadili tu majina na kutamka maneno wasiyojua maana yake. Imani haibadilishwi siku moja na anayekulazimisha kubadili dini hakupendi. kwangu mimi sioni noma kama mkristu anaoa binti wa kiislamu na kumwacha aendelee na imani yake. Hili katika ukristu linawezekana kabisa na ndoa inabarikiwa kanisani lakini mama anaendelea kuwa mwislamu. Tatizo liko upande wa pili ambapo ni shurti ubadili 'jina'.
 
Ma'alim Jumar na Mgen, mada yenu kweli nzuri, lakini ninawaomba muende Mto wa Mbu, hapa tupeni nafasi tuchangie mada ya ndoa kama ilivyoletwa.
Waipeleke jukwaa la imani!
 
Usiwe hofu utapewa majibu na utaridhika kwa ushahidi.
Paulo umesema alitumwa na Yesu. Nae Yesu alikua nani?
Pia hujanijibu mnaoa kumfuata nani? Unaleta maneno ya ujanja tu.
Pia nmesomeshwa dini tafauti na unavyojua.
Binadam wote wanazaliwa ni waislam. Na ndio maana wakiristo wanabatizwa ili kuwa makafir.
Suala la kuoa nmekujibu. Na ukafiri pia.

Una akili timamu kweli wewe,huoni upo nje ya mada?
 
Back
Top Bottom