Societa Jesuit
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 200
- 5
Nijuavyo mimi kwa wakatoliki wanaruhusu ndoa za madhehebu mbalimbali (ndani ya ukristo) na hii haihitaji process ndefu ni suala la kumwona Paroko tu atakueleza. Vilevile wakatoliki wanaruhusu ndoa za dini mbalimbali (mkristo na siye mkristo) na anatoa ruhusa askofu wala process siyo ndefu. Ni suala la paroko kuongea na askofu tu. So bado mnaweza kuoana tu kihalali isipokuwa wenzetu kidogo wanapenda kushinikiza (kadili nilivyoexperience) anayetaka kumuoa anu kuolewa na nao abadili imani yake ya kidini.
Nakushauri sana kama mdogo wanu ubaki na imani yako, ninahakika ushapewa kipaimara na kuimarishwa. mshauri mwenzio akitaka kuolewa nawe basi abaki na imani yake na we yako, au kama atakubali kubadili basi abadili (kwa uamuzi wake). Zaidi ya yote mtangulize na mwogope Mungu daima kwa kila ulifanyalo!
Hii si kweli...rejea kwenye reds yaani wakatoliliki huwa wanaruhususu watu kufunga ndoa ya kikatoliki kama mkiwa ndani ya ndoa kwa muda yaani ndoa ya kitamaduni lakini huyo mkuu yeye hata wazazi hawajui hivyo yupo under process tu kwa hiyo kwa kumsaidia ni kwanza atoe utata wake wa kimawazo kumwacha siwezi na kubadili dini siwezi inshort hasaidiki kuliko kumjaza ujinga....usichangie kuua mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
i was born with it and not without it