Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
David guetta ft Sia Titanium hatari sana david guettahivi karibuni nimetokea kuupenda sana huu music. ningependa kuujua zaidi kutoka kwa wapenzi wa hizi ngoma za kina Calvin Harris, David Guetta, Tiesto, Dash Berlin etc.
ni dj gani unamkubali zaidi? song gani unazikubali zaidi?
Ni hatareeDavid guetta ft Sia Titanium hatari sana david guetta
Mwanzon ckuwah nazifuatiliza hizo ngoma ila kwa sasa nimekuwa kama mteja wa unga kwa hizi ngona kwa mara yngu ya kwanza niliakia ngoma za Avicii nikingi kichaa. David guetta. Dj snake. Ila sichok kuskiliza ngom ya usher na martin garrix inaitwa dont look down. Na ule wa harwell feat jason unaitwa follow me. Aise nilichoka nilipoiskia without you wa Avicii. Ukiachana na ule wa waitin for love. Nakuacha na in the name of love wa martin garrix aisee electronic wazim
Kwa sasa naona Kygo hana mpinzani namkubali sana huyu mscandinaviahivi karibuni nimetokea kuupenda sana huu music. ningependa kuujua zaidi kutoka kwa wapenzi wa hizi ngoma za kina Calvin Harris, David Guetta, Tiesto, Dash Berlin etc.
ni dj gani unamkubali zaidi? song gani unazikubali zaidi?
Ongezeadah mmenikuna sana hapa...mi namkubali zaidi Avicii...
Na hii ndio top 5 yangu
5.David guetta ft kelly rowland - When love takes over
4.David guetta ft sia - Titanium
3.Avicii - Hey brother
2.Avicii - Nights
1.Avicii - Dancing in my head
Ongezea na hiiKwenye EDM music msanii wangu bora ninaemkubali mpaka nahisi ameniloga ni huyu "Alan Walker" playlist zangu kali ni hizi...
Alan Walke list songs
1. Hallow
2. Faded
3. Alone
4. Sing me
5. Dack side
6. Symboly
7. Different worlds