Wapenzi wa electronic dance music (EDM)

Wapenzi wa electronic dance music (EDM)

umetisha sana kama unaijua hio ngoma ni hatari sana alan walker hakuna ngoma ilio kaa kiree hata moko..
Unity ni konyo yani leo siku nzima ilikuwa kwenye autoreplay siku nzima wakati nakula misele nimerudi home hapa na ngoma yake nyingine ya play.
Beats, lyrics so deep
 
Hizi ngoma hatari sana ni hii mvua ukiwa road burudan
ukiwa gym hata vyuma vinakukimbia yani vinachoka kwakuwa wewe ni burudani tuu hata uchovu huusikii haahaa. AU unakimbia unaweza ipita pikipiki hadi wakushangae sababu akili iko far na furaha ndani ya kumoyo.
 
kuna hili tamasha la maraver linaitwa ultra music festival ni noma. ma DJ wakubwa wote hukusanyika jaribu kucheki performance zao torrents.
maxresdefault.jpg
pia tommoeow land
 
Habari wakuu na wapenzi wa mziki wa EDM. Baada ya majaribio ya hapa na pale leo nimeachia kazi yangu kwa mara nyingine.

Magnifico - Are We There Yet?

Produced by Magnifico

SGB STUDIOS.
 

Attachments

hivi karibuni nimetokea kuupenda sana huu music. ningependa kuujua zaidi kutoka kwa wapenzi wa hizi ngoma za kina Calvin Harris, David Guetta, Tiesto, Dash Berlin etc.
ni dj gani unamkubali zaidi? song gani unazikubali zaidi?
Hao wote hawafui dafu kwa Misso Misondo
 
Back
Top Bottom