Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiangalia hizi movie unaweza ukaikimbia screen yako kwa hofu

1.Women in black 2012


2.Drag me to Hell

Ila Mkuu Filamu zako zote hizi bado hazijaifikia kwa kutisha hii Filamu iliyotia ' fora ' nchini Tanzania hasa baada ya ' Kutengenezewa ' kule Mkoani Dodoma inayoitwa ' A true Hero and Survivor of 38 bullets around a well protected avenue '
 
Nimegundua watu wengi wanatishika na Movies za mizimu kuliko za aina nyingine.

Kama unataka kutishika haswa tafuta hizi:

THE CONJURING 1 & 2

AMITYVILLE HORROR

PARANORMAL ACTIVITY

THE RING

DELIVER US FROM EVIL

DEAD SILENCE

Hakikisha unaziangalia usiku kwenye giza totoro. Ukizimaliza utajuta kwanini ulizitazama!!!
 
Aisee, hyo Conjuring 1 n 2,niliitizama baadae nlianza kujutia ila kadri ilivyokuwa inasonga ndo nkazd kuipenda zaidi,, movie nzuri sna
 
Movie hizo daah..kuna hii ya mwisho daah.Kuna movie niliwahi angalia nikaacha kuzima kila kitu kwa sebule..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…