Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Hizo move nishaziona zote,,, ila niko hapa kuona kama kuna zaidi ya hizo.
Mkuu kuna movie flani dingi na watoto wanaenda mapumzikoni huko wanakutana na kibox flani hivi watoto bila kujua wanakichukua na kurudi nacho home kwao. Kibox hicho kitaleta kizazaa ndani ya familia hiyo. Dah! Movie tamu sana jina tu limenitoka
 
Duuu lazma niichek
 
Hivi hii ndo ile dem flan alimuadapt dogo baada ya wazazi aliokuwa anaishi nao kutaka kumuua kwa kumweka kwenye jiko la oven kumbe dogo shetani na ndiyo maana walitaka kumuua?
Hii wazazi wana muadapt huyo dogo kwa ajili ya mtoto wao ambaye ni bubu kumbe huyo dogo ni balaa nyumba itakuwa haikaliki kwa vituko vyake. Mtoto wao ambaye ni bubu anaona mambo yote yanayo tendeka sema hawezi kusema!
 
- The conjuring
-Drag me to hell
nazikubali sana hii kampuni iliyoandaa The conjuring wanaileta tena The Nun Inatoka mwakani
Sema hiyo the woman in black sijaiona ngoja nikaigoogle
 
Mmmmhhhhh hatarr
 
- The conjuring
-Drag me to hell
nazikubali sana hii kampuni iliyoandaa The conjuring wanaileta tena The Nun Inatoka mwakani
Sema hiyo the woman in black sijaiona ngoja nikaigoogle
Hiyo woman in black nayo ni cheche
 
Drag me to Hell, move hii ninaipenda kwa sababu inafundisha.

Kuna move 1 niliangalia zaman sana dogo zombi alimuua sister wa kanisa alikuwa anatoa msaada kwake
 
End of days niliiona Kwa mara ya kwanza EA television. Nilivhowahadithia wadau. Wakanipa pesa na baiskeli niifate kariakoo niliapishwa nisirudi bila kuipata. Tuliipata. Ilitazamwa consecutively kama mara nne hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…