Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Tatizo amujui tofsutisha kuna aina mbalimbali za horror, conjiring uwezi fananisha na Saw.
Mkuu nimekuelewa sana hapa, SAW ni category gani maana zile ndo huwa zinanitisha achana na hizi sijui the nun, conjuring,drag me to hell,zote huwa hazinitishi hata niangalie usiku gani.
 
Hivi hii ndo ile dem flan alimuadapt dogo baada ya wazazi aliokuwa anaishi nao kutaka kumuua kwa kumweka kwenye jiko la oven kumbe dogo shetani na ndiyo maana walitaka kumuua?
mkuu hii ni Case 39
 
Kuna moja inaitwa The Messangers nayo ni shida
 
Dracula vp unaionaje!

Ova
 
Mimi ninayo,nimei`download ina wiki ila bado sijaitazama,nasubiri kwanza maoni ya wananchi,wakiisifia leo naicheki..
Niliipakua Jana nikaicheki.
Ni kali kinoma.
Angalia comment juu utaona ikisifiwa[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…