Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

ha ha ha ha nibonge la picha hautajuta kuliangalia
ila angalia asubuhi mkuuu ili mchana uzoee hali hadi usiku
hahahahahaha
 
NIkweli unaloongea mkuu lakini angalia scene ya kwanza huyo mama kipindi ni kijana alipokutana na yule kijana akamuuliza kuna kitu amechukua sio chake akiwa na maana aliiba,
So sio lazima upewe kitu ila inaangaliwa kitu ambacho takuwa connected nacho either umeiba ama wamechukua kitu kilicho toka kwako
ndizo maana mchumba wa binti hakupata hiyo laana japo alishika kile kifungo
muhimu soma plot ya movies kwanza utaona maelezo yangu yalivyo endana
 
Napenda sana horror asee. Na raha yake uitazame usiku [emoji23][emoji23]

Mosi, INSIDIOUS chapter zote.

Pili, THE CONJURING

Tatu, THE WAILING

Nne, IT

Tano, THE WITCH

Sita, DONT BREATHE

Saba, THEY LOOK LIKE PEOPLE
Don't Breath bado part two yake haijatoka tu?
Dah movie tamu sana hii
 
Wazee tupieni latest horror movies au series nizipakue now
Kule jukwa la Entertainment kuna uzi upo unaohusu muvi hizi za kutisha.
Kuna page kama 100...nenda ukazipakue humo.
Ni hatare...ngoja nikakutag
 
Watu waliisifia sana the nun kuwa inatisha kinyamela..daah hamna kitu bora drag me to hell...
 
Jinsi ilivyoisha ni kama inamuendelezo hivi,.vipi unafahamu lolote juu ya hilo?
 
Jinsi ilivyoisha ni kama inamuendelezo hivi,.vipi unafahamu lolote juu ya hilo?
Movie za horror za hivyo mara nyingi huisha hivyo. Angalia hata movie ya mwaka jana ya Truth or Dare, nayo mwisho wake ni kama ina muendelezo au hata old schools za Wrong Turn.

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Hata mimi nilijuta,.ni bora ningecheki zangu nsyuka tuu ya mussa banzi,.

Mi niliziangalia kwa shauku sana hizi Conjuring ii na iyo The nun kwangu mimi sikuona cha kutisha kabisa Bora hata niangalie tu kina bi mwenda kule makaburini usiku.. labda nikipata muda tena ntaiangalia iyo drag me to hell ingawa sitarajii chochote pia hata kwenye hii
 
Hahaa,.eti bibi mwenda..kati ya hizo 2 drag me to hell tamm..tenga muda uicheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…