KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
ha ha ha ha nibonge la picha hautajuta kuliangaliaYani, muvi yenyewe sijaitizama lakini naona kama manyokanyoka vile.
Sijui tu, lakini naweza sema hawa madirector ni wataalam sana kuzitengeneza hizi muvi.
Kwa jinsi zinavyoanza,mwendelezo wake na hitimisho pia kwakweli zinakuwa zinabeba uhalisia dhahiri.
Waweza fikiri labda huenda hawa madirector wamekuwa wameshiriki hayo maisha katika ulimwengu, halisia yani.
Drag Me To Heal.
Naigongea muhuri rasmi kuitafuta.
ila angalia asubuhi mkuuu ili mchana uzoee hali hadi usiku
hahahahahaha