Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Kama unaangalia hakikisha sio muoga maana inatisha zaidi ya The Conjuring 1,2,Movie hii, iliachiwa mwezi April mwaka huu 2019...Huu Ni Mfululizo Wa Filamu ya The Conjuring' inakuwa ya sita.


Movie hii inahusu Single Mother akijaribu kupambana na mzimu ambao ulikuwa unataka kubeba watoto wake, james wan kama kawaida yake ndio aliyeandaa hii movie, jamaa nae sijui ni mchawi maana movie inatisha[emoji4]

 
Mmh.! Haya maneno umeandika wewe au ni ya fahamu Movie
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndo umeona inatisha sio sisi kama unamuogopa single mother kumtafuna nilazima uogope hata hii.
 
Kuna movie zinatisha hata ukisikiliza actors interview wenyewe wanasema "hii part ilikuwa balaa" so sijui ni wapi katika hiyo sinema panatisha sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…