Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Watch if you dare....
Sikutaka hata kuimaliza maana inasisimua..inastor tofauti tofauti, inahusu watu wenye matatizo ya akili..
Tkuio 1.

Jamaa alimuona mtu kachora tatoo akaipenda, akamvizia akamuua akampeleka kwake. Tatoo ilikua kifuani hvo akakata ile nyama yenye tatoo afu nae akajichana kifuani...akachukua ile ngozi ya tatoo akaishona bila ganzi kifuani.

Mweeeh si pakaanza kuoza baada ya siku akawa anafikicha mausaa na kidole. Hapo hapo niliistopisha na kuifuta kabisa.

Napenda burudani nikiwa nacheki muvie sio kuogopa
Horrible!!
 
Inatisa asee... inasisimua mno..
Mwanzo kabisa mdada yuko salon usiku sasa yule msusi si akzipenda nywele.. alimpiga akazimia afu akachukua visu vya operation akamchuna nywele zote zikabanduka kama mtu anavua wigi.. afu akachukua lile wigi akavaa.. dada akabaki kichwa kina kipala cha fuvu
Duuuh hii bora umeniambia nikiiona nisiipakue kabisa.
 
Siku zimekua nyingi aina hii nadhani, wacheza porno wameamua kutanua wigo kuna moja inaitwa "BACHELORS NIGHT". kiufupi Siyo ya kuangalia na mzazi ,familia au hata wewe mwenyewe ni hatari
Kuna movie nyingine kama porno yani kuna ile ya kiss and kill presure or pain na hii ya love ya 2015 balaaa kuanza na kuanza tu.
 
Unashangaa hiyo umeiangalia ile season moja maarufu wanaiita Supernatural ukiachana na arch angel Kama Gabriel, Michael, Rafael na angel wengine kama sjui metatron ,castiel na Lucifer hadi mungu yupo Kama miongoni mwa characters

Ila wanatumia vessel hawapo kweny maumbo yao yaani wana mposses human being ni miongoni mwa Series Kali sana itafute

Dominion imepoa sana
Domion imepoa sana.. mimi napenda niangalie muvi afu nipate mafunzo.. sasa hiyo ya kumuhusisha Mungu naona ni mpango wa shetani kunitoa relini. Mie siwezi tizama hiyo. Kuna siriz nzuri za kutizama
 
Alimind kuwa binadamu tumemchukiza mungu paka akaondoka
Dominion hi series sijawahi kuielewa lengo lake..
Eti malaika Mungu alipotea malaika Mikael akaja kuwalinda binaadamu afu Malaika Gabriel ndio adui...kabisa Malaika Gabriel cheo chake na heshima alio nayo anaweza kuchezwa kama adui???
 
Supernatural ni series kali sanaam
Unashangaa hiyo umeiangalia ile season moja maarufu wanaiita Supernatural ukiachana na arch angel Kama Gabriel, Michael, Rafael na angel wengine kama sjui metatron ,castiel na Lucifer hadi mungu yupo Kama miongoni mwa characters

Ila wanatumia vessel hawapo kweny maumbo yao yaani wana mposses human being ni miongoni mwa Series Kali sana itafute

Dominion imepoa sana
 
Perfume ya yule kaka ni bubu ananusa harufu?
Yeahh hyo hyo.. mimi nilipenda setting take ila story na matukio wapiiii.. Kama kule kwenye maua kamteka demu kamfungia chumbani mm najua anataka amgegede nikawa nimejiandaa kuangalia utamu.. kumbe kinataka4 kimuue kichukue nywele. Nilichukia nikaifuta kabisa
 
BURIED nimeiona huko Mbc 2
jamaa kazikwa yupo ndani ya jeneza kazinduka kaachiwa simu na tochi sasa anawasiliana na wengine km mkewe na maboss, udongo unapenya nyufa za jeneza unajaa hadi unakufa mwisho wa picha
(du kumbe ndani ya jeneza unaweza zinduka duh mateso hofu)
 
Ha ha ha ha ha aha ukitaka za migegedo angalia Game of thrones.

Ya perfume mimi sikuipenda mazingira yake ni machafu machafu sana.
Mamii naona ushanitia tamaa..mm sijawahi kutizama hata singo episode ya GOT ila leo ngoja nikainunue S1 nione kilichomo..
 
Domion imepoa sana.. mimi napenda niangalie muvi afu nipate mafunzo.. sasa hiyo ya kumuhusisha Mungu naona ni mpango wa shetani kunitoa relini. Mie siwezi tizama hiyo. Kuna siriz nzuri za kutizama
Imani yako tu kama sio thabiti ndo itakutoa relini

Mimi huwa curious naziangaliaga Sana kuna vitu hua najiuliza kwa nini wahusika wawe portrayed vile kuna nini hasa mfano tamthiliya zote mbili dominion na supernatural watengenezaji ni tofauti ila kuna vitu vinashangaza na pia na baadhi ya hzi single movies zenye themes Kama hyo utakuta vitu vifuatavyo vinafanana

Mungu (father) Hana relationship nzuri na (watoto) wake arch angels

Lucifer ana m blame God kwa vile alivyomfanyia anadhani hakustahili adhabu ile

Na baadhi ya taamthiliya kama season ya Lucifer ame act kama ameondoka hell hakupendi hell na anasema kuko bored anafanya kazi ya kuchoma watu ni God kataka awe pale pia ame act kama changed Man blame his father (God) for what he became ..duuh hatar sana

Gabriel anakuwa muhusika au miongoni mwa arch angel ambae anakuwa portrayed evil na anaamini mungu amepoteza upendo kwa watoto wake (angels) sababu ya existence ya Human being mungu amezidi kuwapenda binadamu

Arch angel Michael always a hero a favorite dady (God) son na pia anakuwa portrayed kama hope ya Human being survival I'm not Christian but naskia kuna kitu kinaitwa crusede War lakini mbona hizi movie aziongelei hilo hailipi uzito hilo always war human being against angel je is it true angel will start war against human being ?...hzi ni movie tu [emoji16]

Matendo yote tuyafanyao ni kama yamekuwa planned inspite the fact that tunakuwa na free will (supernatural season 14 last episode) and God just enjoying watching us Like a some sort of TV show
Daah wazungu wanadhambi sana [emoji16]

God disappearances daah almost muvi zilizo kweny categories hizi hichi kitu wanakielezea God ata step aside atatuacha kama tulivyo Angel wata start resistance against us wakiamin sisi ni chanzo ...why wanapenda kuitumia hii themes

Tukiachana na muvi dizaini hii kuna hii wanaita davinci demons ina vitu vingi sana vya ku Note ila sema sometimes tunaangalia just for fun but kwa nini waweke vitu Fulani na kuondoa Fulani wanajaribu kutaka kufanya nini?

Just enjoy the movies
 
Back
Top Bottom