Domion imepoa sana.. mimi napenda niangalie muvi afu nipate mafunzo.. sasa hiyo ya kumuhusisha Mungu naona ni mpango wa shetani kunitoa relini. Mie siwezi tizama hiyo. Kuna siriz nzuri za kutizama
Imani yako tu kama sio thabiti ndo itakutoa relini
Mimi huwa curious naziangaliaga Sana kuna vitu hua najiuliza kwa nini wahusika wawe portrayed vile kuna nini hasa mfano tamthiliya zote mbili dominion na supernatural watengenezaji ni tofauti ila kuna vitu vinashangaza na pia na baadhi ya hzi single movies zenye themes Kama hyo utakuta vitu vifuatavyo vinafanana
Mungu (father) Hana relationship nzuri na (watoto) wake arch angels
Lucifer ana m blame God kwa vile alivyomfanyia anadhani hakustahili adhabu ile
Na baadhi ya taamthiliya kama season ya Lucifer ame act kama ameondoka hell hakupendi hell na anasema kuko bored anafanya kazi ya kuchoma watu ni God kataka awe pale pia ame act kama changed Man blame his father (God) for what he became ..duuh hatar sana
Gabriel anakuwa muhusika au miongoni mwa arch angel ambae anakuwa portrayed evil na anaamini mungu amepoteza upendo kwa watoto wake (angels) sababu ya existence ya Human being mungu amezidi kuwapenda binadamu
Arch angel Michael always a hero a favorite dady (God) son na pia anakuwa portrayed kama hope ya Human being survival I'm not Christian but naskia kuna kitu kinaitwa crusede War lakini mbona hizi movie aziongelei hilo hailipi uzito hilo always war human being against angel je is it true angel will start war against human being ?...hzi ni movie tu [emoji16]
Matendo yote tuyafanyao ni kama yamekuwa planned inspite the fact that tunakuwa na free will (supernatural season 14 last episode) and God just enjoying watching us Like a some sort of TV show
Daah wazungu wanadhambi sana [emoji16]
God disappearances daah almost muvi zilizo kweny categories hizi hichi kitu wanakielezea God ata step aside atatuacha kama tulivyo Angel wata start resistance against us wakiamin sisi ni chanzo ...why wanapenda kuitumia hii themes
Tukiachana na muvi dizaini hii kuna hii wanaita davinci demons ina vitu vingi sana vya ku Note ila sema sometimes tunaangalia just for fun but kwa nini waweke vitu Fulani na kuondoa Fulani wanajaribu kutaka kufanya nini?
Just enjoy the movies