Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Watch if you dare....
Sikutaka hata kuimaliza maana inasisimua..inastor tofauti tofauti, inahusu watu wenye matatizo ya akili..
Tkuio 1.
Jamaa alimuona mtu kachora tatoo akaipenda, akamvizia akamuua akampeleka kwake. Tatoo ilikua kifuani hvo akakata ile nyama yenye tatoo afu nae akajichana kifuani...akachukua ile ngozi ya tatoo akaishona bila ganzi kifuani. Mweeeh si pakaanza kuoza baada ya siku akawa anafikicha mausaa na kidole. Hapo hapo niliistopisha na kuifuta kabisa.

Napenda burudani nikiwa nacheki muvie sio kuogopa
Napenda sana horror movies hasa niangalie usiku na enjoy sana.
 
Ha ha ha ha ha aha ukitaka za migegedo angalia Game of thrones.

Ya perfume mimi sikuipenda mazingira yake ni machafu machafu sana.
Au ile Spartacus na hiyo haupo nyuma kwa mambo hayo, nilitazamaga kitambo sana.
 
Af telegram kuna chanel (group) moja ya hackers wanadukua account za watu za Netflix itune tidal ad za bank af zinaletwa kule buree ila kujilinda ni juu yko user name na password kila kitu unapewa free ni mwendo wa kulog in na kupakua madude nishatumiaga ila now nisha achaga Ni kama darkweb web flan hivii
Inaitwaje hiyo mkuuu

Mi naijua ile ya premium accounts za SOFTWARE mbali mbali.
 
Nimeangalia American horror story (AHS) zote.
Now tupo season 9. Back to 80's[emoji41]

Ni tamu balaa.
Duh mkuu umetisha hujaskip ata season moja[emoji28][emoji28][emoji28]

Mm nimeishia season 6, so far which is ur favourite season???
 
Kuna wakati itafika hizi movies zitakuwa full of pornographics tu asee, juzi kuna mzee aliomba series nimpe nikafikiria nikashindwa hata kujua nimpe ipi maana hapa StrikeBack huku Game of throne...[emoji23]
Siku zimekua nyingi aina hii nadhani, wacheza porno wameamua kutanua wigo kuna moja inaitwa "BACHELORS NIGHT". kiufupi
Siyo ya kuangalia na mzazi ,familia au hata wewe mwenyewe ni hatari
 
Umeshafika season 2?
Maana yake umeshatumia masaa 12+ kuiangalia?
Ooh i mean s1.. ila hata hawatiani kama Spartans naona wanakaa uchi tu.. mm nataka shoo tu za kibabe kama akina crixus
 
Back
Top Bottom