Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Series hiyo sikushauri kabisa

Game of Thrones inasubiri

Nikionaga tu neno spartacus huwa nahisi

hata mtu mzima/mzazi hapaswi sikia hiyo title asije vutiwa akaitafuta Movie buree
Hahahaaa ndiyo naitaka hiyo.
Napenda sana hivi vitu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Movie ya kifala sana hii sikuipenda hata ila haipo kwenye categories ya horror movies hii ni survival movies
 
Movie ya kifala sana hii sikuipenda hata ila haipo kwenye categories ya horror movies hii ni survival movies
kwako sio Horror maana kuna utofauti au hukuielewa maudhui yake, au aliyekutafsiria ni hawa wa sinema za kiswahili
hii story ni kweli kabisa ilitokea huko Iraq na jamaa aliwasiliana na wahusika na mkewe na baada ya muda alikufa
mm mipicha km Dracula picha fiction haziniogopeshi kwa sababu ni zakutunga from no where

nyingine fuatilia hapa jamaa alivyopotezwa matumaini ya mwisho simu inazima
fuatilia vitu vya kweli sio Horror za kutunga
 

Mwanangu una dharau kishenzi.....me sijakataa kama ni ni movie iliyo base kwenye “true event” ila huwez kuiweka kwenye category ya movie za kutisha ni survival movie japo ilipata rate nzuri movie gan inachezwa location moja then mwisho wake umeiona vizuri

Then acha kukariri kuwa horror movies ni za kutunga hizo annabele zote, the nun na the conjuring ni base on true events

Aisee kweli tunatofautiana yaan ukaiangalia na ukaja na uthibitisho wako hapa kuonesha kuwa kweli ni movie ya kutisha kwa taarifa yako hii movie inatoka tu nimeiangalia

Another day njoo na vitu konki bana yaani mtu kufungia kwenye jeneza unaona napo ni kitu cha kutisha au yule nyoka alivyoingia kwenye jeneza ndo ukaogopa

U cant be serious mwanaume wa kinondoni sasa ukiiona “ drag me to hell” si ndo ungezimia wewe[emoji23][emoji23]
 
Aisee mkuu hv hiyo drag me to hell ilitoka sehemu ya pili?, yani niliipenda sana hiyo movie niliangalia mda sana.
 
Haya tafuteni na hzo hapo mzicheki, kama mnadownload kwa torrent zote zinapatikana kirahisi

Hzi ni among horror movies nazozipenda ambazo zina zaidi ya movie moja

The Wrong Turn 1
The Wrong Turn 2
The Wrong Turn 3
The Wrong Turn 4
The Wrong Turn 5
The Wrong Turn 6

The Collector
The Collection

VHS 1
VHS 2
VHS 3

Texas Chainsaw Massacre
Texas Chainsaw Massacre 2: The Beginning
Texas Chainsaw 3D
Leather Face : (huyu leather face ndio anaye ua watu na chain saw, hapa inaonesha alivokua mtoto mpaka alivoanza mauaji)

Saw 1
Saw 2
Saw 3
Saw 4
Saw 5
Saw 6
Saw 7
Jigsaw( jigsaw ndio ndio mastermind anayeua watu kwenye movie za saw)

Hostel 1
Hostel 2
Hostel 3

The conjuring
The conjuring 2

Insidious
Insidious: chapter 2
Insidious: chapter 3

Jeepers creepers
Jeepers creepees 2

The hills have eyes
The hills have eyes 2

Nyingine nkikumbuka ntaweka list
 
Horror movies nilizofanikiwa kuzicheki
Wrong Turn
Dont breath
Saw zote
Final destination ya kwanza na ya pili ila zingine nmekimbia kwa kweli naogopa.
 
Muwe mnaweka na link basi nasisi tuzitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…