Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

What about Paranormal Activity, inatisha sana?[emoji16]Naogopa kuangalia mwenyewe, ila natamani kujua kilichopo
Inahusu matukio ambayo hayaelekezeki kwa njia ya kawaida yanayohusisha supernatural. Hayo matukio yanaweza yakawa yanatokea kwenye maeneo tofauti ambapo science imeshindwa kutoa majawabu ya moja kwa moja (kwa sababu wenzetu waamini majibu yanapatikana kwenye science).

Sasa kutisha ama kutokutisha inategemea mahali ambapo wanaenda kufanya hiyo activity. Sehemu nyengine zinatisha na wanakumbwa na mambo ya kutisha wanakimbia, sehemu nyengine ni kati kwa kati, nyengine ni kawaida.

Kuna nyengine wananunua vitu vyenye laana "cursed" na kuona kama ni kweli vinalaana au uzushi. Vyengine vinawashinda.

Usiogope! Ni kurasa nyengine ya maisha, yafurahie.
 

Attachments

  • Screenshot_20200323-135951.png
    113.8 KB · Views: 20
Binti anavoisema hio "cut it........CUT IT!!! Hahahahaha
Evil dead ni masterpiece ila cheki sinccin pia.
 
Mimi movie nisiyoweza kuangalia ni ile yenye kushtua moyo mara kwa mara ila hizi hata horror hata nione mtu anachinjwa naangalia vzr hata iwe saa 9 usiku, kwa sababu najua ni maigizo tu.
 
Daah, nami hii movie nimeikumbuka ila jina ndio limenitoka
 
Jamaa alikuwa na demu wake na mshikaji wake nae akiwa na demu wake, na jamaa (star) ndio alikuwa muoga kuliko wenzake wote.
 
Embu wadau wa horror movies leteni tuwaze pamoja mpaka tukumbuke jina la hii movie.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hakuna uzi wa kushusha Movies hapa JF?.... kama kuna mtu anayefahamu au links salama za kudownload ashee mami tafadhali🙏🏼
 
Hivi hakuna uzi wa kushusha Movies hapa JF?.... kama kuna mtu anayefahamu au links salama za kudownload ashee mami tafadhali🙏🏼
Tembelea website inaitwa nkiri.com utapata movies, korean drama & asian movies na series kwa mb chache but kwa Quality bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…