Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Itabidi nitafute hii
 
Series ya 'V' ilikuwa ITV
Duuuh wewe ni baharia...

Nakumbuka ITV hawakuwahi kuacha kuonesha season ila hii waliiachia njiani...

Mimi nilikuwa naikubali ila mwenye nyumba anaichukia (alikuwa muoga)
 
Siku ukiipata "Silent city" utakuja ku-edit hiyo namba moja aisee wale viumbe ni wa ajabu bwana yaani wanafumuka ngozi ya nje inaingia ndani na nyama za ndani zinatoka nje...

Kazi ni kula binaadam
 
Kwenye list yko umekosa hellraiser! Au umekosa au siccin! Hata annabell? Pia
 
Kiuhalisia kwa upande wangu nothing was horrific than corona..!

Ila kwenye fiction thrillers za "you" kwangu ndo zilinibamba zaid. Ile blend ya erotic na horror scene na utulivu wa characters kama joe mooneys na berth kwenye scenes ni hatari. First time naiona ilikuwa ngumu kuamini kama ni work of fiction, nilidhan ni documentary.
 
Kwa wale wapenzi wa dhati kabisa wa horror films nawakaribisha kwenye turkish sinema.tafuteni SINCCIN ipo 1 mpaka 6.
Ukiweza kuziangalia hizo ndio utajua up till that moment you have never been horrified all your life.
Nazipata kupitia apk gani ,cinema,tea TV,yt,movie HD nimefeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…