My best was DRAG ME TO HELL...events occurred unexpected plus sound effect was good much appreciated in theater...0% blood 0%nudity 100% adrenaline surge
Nakubaliana na wewe hapo kwenye silent hill. Hii movie nzuri sana. Inakamata mno na inaogofya. Naipenda kwakweli.Thrillers.
Horror movies ni zinazokufanya kuogofya kimawazo kutokana na mambo yanayotokea.
Hizi ziko kawaida sana.
Ukijaribu kuangalia filamu hizi ukiwa umetulia kimawazo na kama unajua muunganiko wa dunia halisi na ya roho lazima kuogofya.
Jaribu exorcist 1 - 3.
Omen
The Ring
Silent Hill
Hill have eyes (hii ni ya ki canibal sana kama nakumbuka vizuri)
Conjuring ni nzuri maana ina matukio halisia sawa na Haunting in Connecticut. Sasa hizi zingine za binadamu kuwachomachoma na kuwala wenzao sijui mantiki ya kutisha hapa iko wapi.
Jaribu kuwa mahala palipotulia na penye giza kidogo ili akili yako iwe katika filamu tu
Kuna hii inaitwa The Excorcist 1973... Haina tofauti na Conjuring2Inaitwa "The Conjuring" Ni Moja Ya Movie Za Kutisha Sana. Kuna Watu Wamesadikika Kufa Wakati Wanaichek Kutokana Na Kutisha Kusiko Kwa Kawaida Ni Story Ya Kweli Iliyo Wahi Kutokea Ulaya. Kutokana Na. Majini (Demons) Walio Vamia Nyumba Na Kuanza Kuwatesa. Ghost Hunters, Demonologists, Exorcists, Na Paranormal Naturalist Wapo Kwenye Zoezi Hili La Kuwaondoa Hawa Weird Demons Kwa Msaada Wa Kanisa Je Wataweza? Demon Avalak Atakubali Kuondoka?
Fuatilia Kisa Hiki Kwa Kina.
Binafsi Si Kulala Vizuri Siku TATU.
Itafute Show Box Ipo 1&2.
If You're Easily Shocked Positively Don't Watch It Out.
Ni nzuri na uzuri ungalie usiku. Lazima utikisike aiseeMimi sijaipenda ingawa ni mpenzi sana wa horror movie
Conjuring niliangalia ngoma saa sita usiku kumetuliaaa. Aloo nilihisi demons wameingia ndani. Inaogopesha.Ngoja Niichek Wrong Turn.
Sijui Kama Itaizidi Conjuring.
Ni nzuri...Na uzuri ungalie usiku....Lazima utikisike aisee
Zilipendwa hizo1.THE HOSTEL
2.SAW
3.WRONG TURN
4.FINAL DESTINATION
5.SEPTEMBER 2012
6.GHOST SHIP
hizi ndo ukitazama zinaogofya sana ila siyo hiyo uliyotaja
Mkuu kuna hii hapa. A nightmare on Elm streat ni bonge la horror movie. Final destination na SAW wala sizikubali km horror movie. Ni za kawaida tu.dah kweli kabisa hostel na wrong turn zunatisha + kusikitisha, ila wrong turn ni mwisho wa reli dah
Kuna hii inaitwa The Excorcist 1973... Haina tofauti na Conjuring2
Hiyo kitu achana nayo kabisa.My best was DRAG ME TO HELL. Events occurred unexpected plus sound effect was good much appreciated in theater...0% blood 0%nudity 100% adrenaline surge
Hizi ndizo huwa napenda. Ndiyo movies zangu.Conjuring niliangalia ngoma saa sita usiku kumetuliaaa. Aloo nilihisi demons wameingia ndani. Inaogopesha.
Mkuu kt movie za horror ambazo sizikubali ni1.THE HOSTEL
2.SAW
3.WRONG TURN
4.FINAL DESTINATION
5.SEPTEMBER 2012
6.GHOST SHIP
hizi ndo ukitazama zinaogofya sana ila siyo hiyo uliyotaja
Conjuring niliangalia ngoma saa sita usiku kumetuliaaa...Aloo nilihisi demons wameingia ndani...Inaogopesha...
Hamna tofauti sana. Ni mule mule yani.Ngoja Niichek Kumbe The Exorcist Ni Pacha Wa Conjuring.
Mkuu kt movie za horror ambazo sizikubali ni
1. SAW
2. FINAL DESTIONATION
Hostel & september bado sijaziona kwahiyo siwezi kuzijudge
SAW & FINAL DESTINATION haziwezi kumfikia ''EVIL DEAD"
Kuna horror movie ukiangalia, km ni usiku hata ukijigusa ww mwenyew unashituka.
Ushawahi kuangalia horror mpaka ukataka upige kelele?
Tafuta hii "The Boy"Mkuu kuna hii hapa
A nightmare on Elm streat ni bonge la horror movie.
Final destination na SAW wala sizikubali km horror movie. Ni za kawaida tu.
Bora wrong turn unasisimka kidogo. Niliangaliaga SAW wala sikuipenda hata Final destination haikunisisimua kbsa.
Mm ni mpenzi wa horror movies sana.
Hizi movie huwa napenda sana ktk series iliyonivutia ni the legend of the seaker na merlin kidogo. Tafuta saradini mkuu hii movie ni ya kibongo huwa naikubali sana kuliko movie zote zilizochezwa na wabongo.Umenikamata Hapo Daah Movie Ni Horror Hadi Una Scream?
Itakuwa Upo Scared Sana Mkuu.
Hizi movie huwa napenda sana ktk series iliyonivutia ni the legend of the seaker na merlin kidogo.
Tafuta saradini mkuu hii movie ni ya kibongo huwa naikubali sana kuliko movie zote zilizochezwa na wabongo.