Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Movie ya kutisha ninayoikubali kuliko zote ni ile ya "Bashite aliyoigiza kama jambazi.!
 
Mmh ha ha yani mimi sina hata sense za kuogopa au kustuka sjui kwa nn labda kwa sababu nishashuhudia matukio ya ajabu na kutisha ili nigharimu miaka 7, hata nione mtu anachinjwa karibu ntageuka kuangalia ntaendelea na safari yangu.

Ilikua nn
 
Kuna nyengine inaitwa Evil Dead
Hiyo ni noma lazima uote kama sio mzoefu Wa hizo muvie ni Bonge la horror
hapa nakubaliana na wew, ile part 3 ni mwisho wa matatizo+ comedy!!!
 
Mimi ni mmoja wa wapenzi wa muvi hizi ingawa zipo za aina tofauti tofauti kama vile za Serial Killers, Zombies, Hillbillies, Vampires, Ghosts, Monsters n.k.

Baadhi nilizozicheki kuanzia mwaka 2000 - 2017 ni hizi.

1. Wrong Turn
2. Evil Dead
3. Saw 1-7
4. Final Destination 1- 5
5. Hostel
6. Train To Busan
7. Dawn Of The Dead
8. Buried
9. Coherence
10. Ghost Ship
11. The Mist
12. The Descent
13. World War Z
14. Slither
15. Sinister
16. Cabin In The Woods
17. House Of Wax
N.K
Wewe jee?
 
Back
Top Bottom