Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Hii movies ni mwisho wa matatizo, mi mpaka Leo sikufanikiwa kujua steling Nani,

Akili nyingi sana ilee movie

hahahaaa lile jamaa lenye maski lilikuwa linatesa sana washkaji na mitego yake yenye akili,,hii movies stering hata me sijampata frsh ila stori inaeleweka sema inahitaji umakini kuifatilia aisee
 
Wakuu kuna jeepers creepers 1&2 ila 3. Sijajua kama imeachiwa mwenye uelewa anijuze
 
Back
Top Bottom