Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,564
- 55,570
Me niliiangalia mara moja tuu sirudii, Na ile the conjuring niliiangalia mewenyewe almanusura nizimie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwaga nikianza kuiangalia nashangaa Laptop naachiwa peke yangu watu wanalala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]