Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,898
- 4,156
Duu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo moja tuuHivi haina muendelezo kweli?
Ni wajinga sana unaweza kushikwa na hasira kwa ujinga wanaofanyaMovie za kutisha nishanyoosha mikono juu, siwezi tazama kwanza zinatisha halafu watu wake wajinga!..
Hostel matukio ya kutisha ni machache sana ila ni nzuri tofauti na wrong turn inatisha sanaHostel sidhani kama inatisha kwa kuwa ime base sana kwenye cannibalism
Napenda sana watu wanavyofanyiwa ukatiliHAYA MA-MOVIES YANALENGA KUONDOA HOFU YA KUFANYA MAOVU HASA MAUAJI.
Napenda sana watu wanavyofanyiwa ukatili
Huruma ya nini sana wakati ata wakiniacha nitakufa tu mimi naamini kila kitu katika maisha yangu kimepangwa na Mungu na lazima nipitie mimi kufanyiwa ukatili wala sitojali chochotehamna shida yakikukuta wenzako nao watakua washaangalia hayo mamuvi, hawatakuonea huruma
duh we noma mi siangaliagi hayo maduduHuruma ya nini sana wakati ata wakiniacha nitakufa tu mimi naamini kila kitu katika maisha yangu kimepangwa na Mungu na lazima nipitie mimi kufanyiwa ukatili wala sitojali chochote
Aise.Hii sio ya kukosa kabisa… View attachment 858962
Kutisha vp mkuu??Ni movie gani kali na yakutisha ambayo ukiitazama lazima moyo udunde
Nimeitazama hii inaitwa The inter the breed kwakweli hii movie nimeona kidogo imenitisha
Mimi ni mpenzi wa movie zakutisha
Naombeni mnifahamishe zingine kali
Kuna nyingine pia nilisahau, inaitwa Amityville Horror. Ni kali pia
Hatari mkuu yule dada aliuchezea moto wa yule bibiDrag me to hell ni noma sana