Ahaa sasa ngoja nitafute hiyo ya mwaka huu ndiyo nasikia inatisha sana.Zipo kwa series kuna iliyotoka mwaka huu, kali balaa na zipo nyingine za miaka ya nyuma angia google
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa sasa ngoja nitafute hiyo ya mwaka huu ndiyo nasikia inatisha sana.Zipo kwa series kuna iliyotoka mwaka huu, kali balaa na zipo nyingine za miaka ya nyuma angia google
HatariAhaa sasa ngoja nitafute hiyo ya mwaka huu ndiyo nasikia inatisha sana.
Yes mtu anakutupia lishetani kwa kuchantia kitu na kukukabidhi ukipokea hicho kitu kwisha kazi litakusumbua siku ya saba linakubeba mpaka uwahi umrudishie aliyekupa hicho kitu kabla ya siku ya saba.Hivi hii ndiyo ile ina issue za laana mkuu??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] we umewaza mbali sana.Nadhani watengenezaji na waangaliaji wa hizo movie wana matatizo ya akili....
Movie za Nigeria zinatisha???? Mimi uwa zinanichekesha maana hawana teknolojia ya kutengeneza VFX and CGI za maana mimi sijawahi tazama movie ya kinaijeria ikanitisha ila uwa naona wanachemkaKipindi nakua nilidhania wanigeria ndio wanaongoza duniani kwa muvie za kutisha duniani,baada ya kuja kuona za kizungu nikajua kumbe nilikuwa sijaona muvie aisee.
Kwanza zinakuongezea umakini hasa ukiwa sehemu zilizo pweke.
Kuna ya 2018Hivi hiyo the nun ni ya mwaka gani.?
Maana Mimi inakuja ya 1996
Tafadhari Naomba Ruhusu Nicheke KwanzaNadhani watengenezaji na waangaliaji wa hizo movie wana matatizo ya akili....
Wanaijeria ni kama bongo movie tu hawana la maaanaKipindi nakua nilidhania wanigeria ndio wanaongoza duniani kwa muvie za kutisha duniani,baada ya kuja kuona za kizungu nikajua kumbe nilikuwa sijaona muvie aisee.
Kwanza zinakuongezea umakini hasa ukiwa sehemu zilizo pweke.
Unaweza kupima mtu kama ana akili au hana???Nadhani watengenezaji na waangaliaji wa hizo movie wana matatizo ya akili....
Yes nimeikumbuka sana.Yes mtu anakutupia lishetani kwa kuchantia kitu na kukukabidhi ukipokea hicho kitu kwisha kazi litakusumbua siku ya saba linakubeba mpaka uwahi umrudishie aliyekupa hicho kitu kabla ya siku ya saba.
kwenye hiyo movie kuna mbibi alimpa mdada flani kifungo alichochantia dada alihangaika siku anaenda kirudisha akakuta bibi kafa, shetani likawa linamtesa akaambiwa akafukue kaburi akiweka kwenye kichwa cha maiti ya huyo bibi wakati anaenda akachanganya bahasha iliyokuwa na kifungo masikini akafukua na kuweka kifungo tofauti akafarijika kamaliza kazi akaamua aende vacation yuko kwenye kituo cha trni na bf wake bf wake anamwambia jana ulisahau kitu kwenye gari langu anamtolea bahasha yenye kile kifungo na siku hiyo ndiyo ilikuwa siku ya saba mara dada anaanza rudi nyuma ardhi inafunguka mkono wa shetan unamdaka anazama ardhin
Yah hata mimi nimeitazama 2010Yes nimeikumbuka sana.
Niliiangalia kitambo sana, na sikuogopa sana.
Ila inatisha.
Asante mkuu. Kumbe ningeidownload Mara mbili.
Daah dada anaitwa Alison Lohmna kazurii, hatari yani alafu kitu cha kujiuliza ni kwa nini hii movie ya Drag me to hell haikuwa na part two?Yes mtu anakutupia lishetani kwa kuchantia kitu na kukukabidhi ukipokea hicho kitu kwisha kazi litakusumbua siku ya saba linakubeba mpaka uwahi umrudishie aliyekupa hicho kitu kabla ya siku ya saba.
kwenye hiyo movie kuna mbibi alimpa mdada flani kifungo alichochantia dada alihangaika siku anaenda kirudisha akakuta bibi kafa, shetani likawa linamtesa akaambiwa akafukue kaburi akiweka kwenye kichwa cha maiti ya huyo bibi wakati anaenda akachanganya bahasha iliyokuwa na kifungo masikini akafukua na kuweka kifungo tofauti akafarijika kamaliza kazi akaamua aende vacation yuko kwenye kituo cha trni na bf wake bf wake anamwambia jana ulisahau kitu kwenye gari langu anamtolea bahasha yenye kile kifungo na siku hiyo ndiyo ilikuwa siku ya saba mara dada anaanza rudi nyuma ardhi inafunguka mkono wa shetan unamdaka anazama ardhin
Drag me to hell ni noma sana
Hatari mkuu yule dada aliuchezea moto wa yule bibi
Drag me to hell ndiyo namba moja nyingine zinafuata
NISHATAZAMA MOVIE ZA KUTISHA NYINGI LAKINI HII NDIYO NILIIPA SALUTE
Hatari sana hiyo movie
Mbona hiyo kama haitishi sanaTafuta moja inaitwa jeapers creapers kama sjakosea,hyo muvi niliangalia zaman sana ila had leo hua naota
NadhaniUnaweza kupima mtu kama ana akili au hana???