Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Kipindi nakua nilidhania wanigeria ndio wanaongoza duniani kwa muvie za kutisha duniani,baada ya kuja kuona za kizungu nikajua kumbe nilikuwa sijaona muvie aisee.

Kwanza zinakuongezea umakini hasa ukiwa sehemu zilizo pweke.
 
Hivi hii ndiyo ile ina issue za laana mkuu??
Yes mtu anakutupia lishetani kwa kuchantia kitu na kukukabidhi ukipokea hicho kitu kwisha kazi litakusumbua siku ya saba linakubeba mpaka uwahi umrudishie aliyekupa hicho kitu kabla ya siku ya saba.
kwenye hiyo movie kuna mbibi alimpa mdada flani kifungo alichochantia dada alihangaika siku anaenda kirudisha akakuta bibi kafa, shetani likawa linamtesa akaambiwa akafukue kaburi akiweka kwenye kichwa cha maiti ya huyo bibi wakati anaenda akachanganya bahasha iliyokuwa na kifungo masikini akafukua na kuweka kifungo tofauti akafarijika kamaliza kazi akaamua aende vacation yuko kwenye kituo cha trni na bf wake bf wake anamwambia jana ulisahau kitu kwenye gari langu anamtolea bahasha yenye kile kifungo na siku hiyo ndiyo ilikuwa siku ya saba mara dada anaanza rudi nyuma ardhi inafunguka mkono wa shetan unamdaka anazama ardhin
 
Kipindi nakua nilidhania wanigeria ndio wanaongoza duniani kwa muvie za kutisha duniani,baada ya kuja kuona za kizungu nikajua kumbe nilikuwa sijaona muvie aisee.

Kwanza zinakuongezea umakini hasa ukiwa sehemu zilizo pweke.
Movie za Nigeria zinatisha???? Mimi uwa zinanichekesha maana hawana teknolojia ya kutengeneza VFX and CGI za maana mimi sijawahi tazama movie ya kinaijeria ikanitisha ila uwa naona wanachemka
 
Yes mtu anakutupia lishetani kwa kuchantia kitu na kukukabidhi ukipokea hicho kitu kwisha kazi litakusumbua siku ya saba linakubeba mpaka uwahi umrudishie aliyekupa hicho kitu kabla ya siku ya saba.
kwenye hiyo movie kuna mbibi alimpa mdada flani kifungo alichochantia dada alihangaika siku anaenda kirudisha akakuta bibi kafa, shetani likawa linamtesa akaambiwa akafukue kaburi akiweka kwenye kichwa cha maiti ya huyo bibi wakati anaenda akachanganya bahasha iliyokuwa na kifungo masikini akafukua na kuweka kifungo tofauti akafarijika kamaliza kazi akaamua aende vacation yuko kwenye kituo cha trni na bf wake bf wake anamwambia jana ulisahau kitu kwenye gari langu anamtolea bahasha yenye kile kifungo na siku hiyo ndiyo ilikuwa siku ya saba mara dada anaanza rudi nyuma ardhi inafunguka mkono wa shetan unamdaka anazama ardhin
Yes nimeikumbuka sana.
Niliiangalia kitambo sana, na sikuogopa sana.
Ila inatisha.
Asante mkuu. Kumbe ningeidownload Mara mbili.
 
Yes mtu anakutupia lishetani kwa kuchantia kitu na kukukabidhi ukipokea hicho kitu kwisha kazi litakusumbua siku ya saba linakubeba mpaka uwahi umrudishie aliyekupa hicho kitu kabla ya siku ya saba.
kwenye hiyo movie kuna mbibi alimpa mdada flani kifungo alichochantia dada alihangaika siku anaenda kirudisha akakuta bibi kafa, shetani likawa linamtesa akaambiwa akafukue kaburi akiweka kwenye kichwa cha maiti ya huyo bibi wakati anaenda akachanganya bahasha iliyokuwa na kifungo masikini akafukua na kuweka kifungo tofauti akafarijika kamaliza kazi akaamua aende vacation yuko kwenye kituo cha trni na bf wake bf wake anamwambia jana ulisahau kitu kwenye gari langu anamtolea bahasha yenye kile kifungo na siku hiyo ndiyo ilikuwa siku ya saba mara dada anaanza rudi nyuma ardhi inafunguka mkono wa shetan unamdaka anazama ardhin
Daah dada anaitwa Alison Lohmna kazurii, hatari yani alafu kitu cha kujiuliza ni kwa nini hii movie ya Drag me to hell haikuwa na part two?
 
Back
Top Bottom