Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Nazikubali horror sema movie kali nyingi sizijui nikipakua niichek naona ya kawaidaa sanaaa kidogo Annabell
 
Dah! Hii orodha imenikumbusha madude flani ya kuamsha mwili na kusimamisha akili.
 
A Quite place .. Wameitengeza aisee hii movie yaaani unaangalia moviee kimyaa kimetawala sasaaa ijeeee misukosuko iambatane na mikelele unaweza hama myumba
 
Daah dada anaitwa Alison Lohmna kazurii, hatari yani alafu kitu cha kujiuliza ni kwa nini hii movie ya Drag me to hell haikuwa na part two?
Part two ilitoka but mbovu kinoma,matukio yanayotokea mule hayana uhalisia kabisa niliiangalia nusu nikaachana nayo.
 
Ningepata mtu wa kuniambia hivi hata nisingeteseka sana.
Daah hadi kichwa kiliuma.
Asante mkuu japo pia sijaipata hapo ila angalao nimejua kupata movie mpya si rahisi.
Asante sana
Tumia ololo.to ipoo vizuri kwa matumizi ya Pc Sijawahi kosa movie kuleeee,

Kwa simu tumia application moja inaitwa movie play red au Morpheus TV

Movie play Red ipo kama terrarium
 
A Quite place .. Wameitengeza aisee hii movie yaaani unaangalia moviee kimyaa kimetawala sasaaa ijeeee misukosuko iambatane na mikelele unaweza hama myumba
Mkuu kweli hii movie itakuwa ni nzuri rate ni kubwa
7.6/10
 
Tumia ololo.to ipoo vizuri kwa matumizi ya Pc Sijawahi kosa movie kuleeee,

Kwa simu tumia application moja inaitwa movie play red au Morpheus TV

Movie play Red ipo kama terrarium

Asante sana mkuu.
Nimeipata kwenye Terrarium.
IMG_20181105_230507_451.jpeg
 
Mkuu kweli hii movie itakuwa ni nzuri rate ni kubwa
7.6/10
Hiii movie nzuri. Yaaani katika huo mji wamebaki watu wanne tuu Wa familia moja baadae atakuja kuzaliwa mtoto hapo ndy itakuwa shida.

Eneo hiloo alitakiwii kabisa kelele kuna viumbe vinasense balaaa vikisikia tu kwichikwichi tayari vinakwenda na wewe, yaaani mkee na mume wanatumia headphones kujiburudisha kimziki Wa kiwa chumbanii,

Ngomaaa nzitoo alaf naona inaendelea semaaa imeishia patam.
 
Back
Top Bottom