Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Eheeee, endelea mkuu.
baada ya kununuliwa hicho kiboksi..yule mtoto muda mwingi alipenda kukaa na hicho kiboksi na tabia yake ilianza kubadilika siku hadi siku..siku moja alifanikiwa kukifungua hicho kiboksi weeee...kumbe mule ndani kulikua na pepo moja baya sanaaa...likamwingia yule mtoto..balaa lake lilikua moto wakuotea mbaliii..vitimbwi ndani ya nyumba haviishi...ilifika mahali yule binti akawa na kiganja cha mtu (hilo pepo sasa) kinatokea kwenye koromeo kinataka kutoka nje yaani kama anakitapika hivii....ilibidi baba yake aende mpaka huko israel...eee kule kwenye watu wenye nguvu za Mungu haswaa masaa 24 wanasali tu wanavaa na vikofia kama papa...mkuu fanya kuitafuta hii movie..sipo vizuri kwenye kuhadisia...inaitwa the possesion..ni true story
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images(9).jpg
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images(8).jpg
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images(7).jpg
 
baada ya kununuliwa hicho kiboksi..yule mtoto muda mwingi alipenda kukaa na hicho kiboksi na tabia yake ilianza kubadilika siku hadi siku..siku moja alifanikiwa kukifungua hicho kiboksi weeee...kumbe mule ndani kulikua na pepo moja baya sanaaa...likamwingia yule mtoto..balaa lake lilikua moto wakuotea mbaliii..vitimbwi ndani ya nyumba haviishi...ilifika mahali yule binti akawa na kiganja cha mtu (hilo pepo sasa) kinatokea kwenye koromeo kinataka kutoka nje yaani kama anakitapika hivii....ilibidi baba yake aende mpaka huko israel...eee kule kwenye watu wenye nguvu za Mungu haswaa masaa 24 wanasali tu wanavaa na vikofia kama papa...mkuu fanya kuitafuta hii movie..sipo vizuri kwenye kuhadisia...inaitwa the possesion..ni true storyView attachment 922803View attachment 922804View attachment 922805
Ni ipi hapa mkuu??
IMG_20181105_234750_011.jpeg
 
Back
Top Bottom