ywf
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 788
- 919
baada ya kununuliwa hicho kiboksi..yule mtoto muda mwingi alipenda kukaa na hicho kiboksi na tabia yake ilianza kubadilika siku hadi siku..siku moja alifanikiwa kukifungua hicho kiboksi weeee...kumbe mule ndani kulikua na pepo moja baya sanaaa...likamwingia yule mtoto..balaa lake lilikua moto wakuotea mbaliii..vitimbwi ndani ya nyumba haviishi...ilifika mahali yule binti akawa na kiganja cha mtu (hilo pepo sasa) kinatokea kwenye koromeo kinataka kutoka nje yaani kama anakitapika hivii....ilibidi baba yake aende mpaka huko israel...eee kule kwenye watu wenye nguvu za Mungu haswaa masaa 24 wanasali tu wanavaa na vikofia kama papa...mkuu fanya kuitafuta hii movie..sipo vizuri kwenye kuhadisia...inaitwa the possesion..ni true storyEheeee, endelea mkuu.