Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

IMG_2322.JPG
 
Kwa wale zenzangu wanaotumia ios ingia safar Andika tutuapp. Au app valley install moja wapo ikifungua seach show box au app yoyote yenye movie popcorn time utapakua free bila ya chenga
 
Mzee una roho ngumu kwa kweli. Usiku kama huu niangalie conjuring au anabelle creation labda tuwe hata wawili watatu
Tangu udogo wangu nilikuwa nazipenda
Na sasa hazinipi shida wife hapendi kwa hiyo huwa ananiacha niangalie peke yangu.
 
ukitaka kudownload movie kirahisi kwa single click, andika "index of (jina la movie)" utapata link kibao na zenye matoleo tofauti tofauti (480p,720p,1080p) au tafuta kwa mwaka kwa kuandika "index of mwaka (mf.2017) movies", link utazopata ni za kudownload kwa single click na pia kwa device zote (ondoa iPhones) na huna haja ya kuwa na application nyingine kama torrent client nk.. changamoto ni kwa movie mpya sana huwezi kuzipata kwa njia hii...

mfano wa link hizo ni kama hii
Index of /Film/
Ubarikiwe Jombaa, Very Easy Asee
 
Hivi the nun ina uhusiano na the conjuring???
Naona kuna part zinafanana
 
Cinema hd,terrarium ndo the best apps kwa movies
Terrarium wameifungia, na ukionaa inafanya kazi ujue imesha krekiwa ila itakulazimu utumie VPN bila hivyoo itaaendaaa baadae inakuja kuzimaa jumlaaa
 
Terrarium wameifungia, na ukionaa inafanya kazi ujue imesha krekiwa ila itakulazimu utumie VPN bila hivyoo itaaendaaa baadae inakuja kuzimaa jumlaaa
Jamani wasiifunge. Maana kwangu ndiyo app rahisi
 
Back
Top Bottom