Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Kuna hizi 1.Unborn 2.Get out .3 wrong turn1-3.
 
Nimetoka kuingalia the possession, ya kawaida aisee,, haitishi kivile
Ndiyo nimemaliza kuicheki the possession.
Ikabidi nije nitafute hii comment yako.
Aiseeeey hii movie inatisha, inaogopesha.
Nusu nikimbie nyumba yangu.
 
IMG_0806.JPG
hiyo drag me to hell ni ipi kati ya hizi maana kila ninayoitizama inakua tofauti na nyingine
 
Hila ya #JeepersCreapes_2,_2003 mi kwang haitishi kihivyo kuna moja umesahau inaitwa #RONG_TURN inatisha hatar
 
Drag me to hell ipo moja tu ya 2009 hawajatoa nyingine

Hata sijafanikiwa kuangalia naona wanaandika title drag me to hell ukifungua unakutana na issue zingine nimehangaika nimeacha
 
Hata sijafanikiwa kuangalia naona wanaandika title drag meto hell ukifungua unakutana na issue zingine nimehangaika nimeacha
Bonge moja la movie. Mrs Ganush, bibi mmoja anamtesa banker ambae alikuwa desparate kuwa promoted upande mmoja, na kumprove wrong her co-worker on the other hand. It all started with a tough decision
 
Back
Top Bottom