Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Hizi ndio movies kali za kutisha ambazo zimewahi kutoka, kama ni muoga usiangalie [emoji4]

1. Amityville Possession 1982

View attachment 922128

2. End of Days 1999

View attachment 922130

3. The conjuring 1,2

View attachment 922131

4. Drag me to Hell 2009

View attachment 922134

5. The nun 1,2

View attachment 922136

6.Woman in black

View attachment 922142

7. House of Wax

View attachment 922148

8. Texas Chainsaw massacre

View attachment 922150

9. Jeepers Creapes 2, 2003

10. Annabelle Creation
Naielewa sana hii movie, niliitazama muda mrefu sana. Nitaitafuta
 
House of wax ni tamu sana aiseee yule jamaa aliyebadilisha mji mzima kwa wax hadi watu na nyumba wazungu Konyo sana.

Jeepers Creepers really!!!

Na Vanhelsing utasemaje
 
Kwa wale wapenzi wa movies za ghosts basi watafute LIGHT OUT na CROOCKED MAN.

Ila me hua hazinibambi,
Napenda movies za Vampires na Draculas.
 
THE CONJURING 1, 2
THE CONJURING 1, 2 weka mbali na watoto
 
Hiyo YTS ukishaisearch muvi utaona sehemu imeandikwa Magnet na Torrent so wewe nenda hapo Magnet itakuletea info ya hiyo muvi then kwa juu upande wa kulia kuna alama ya tick click hapo itaanza kudownload
Hiyo pia nimeichukua ila sijaona option ya Ku download.
 
Back
Top Bottom