Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Watch if you dare...

Sikutaka hata kuimaliza maana inasisimua..inastor tofauti tofauti, inahusu watu wenye matatizo ya akili.
Tkuio 1.

Jamaa alimuona mtu kachora tatoo akaipenda, akamvizia akamuua akampeleka kwake. Tatoo ilikua kifuani hvo akakata ile nyama yenye tatoo afu nae akajichana kifuani...akachukua ile ngozi ya tatoo akaishona bila ganzi kifuani. Mweeeh si pakaanza kuoza baada ya siku akawa anafikicha mausaa na kidole. Hapo hapo niliistopisha na kuifuta kabisa.

Napenda burudani nikiwa nacheki muvie sio kuogopa
 
lets talk about horror movies na series!
horror movies-zile movie za kutisha tisha
1. The Masters of Horror Season 1 & 2:

Kwenye hii series ma director wengi wa movies za horror wakakutana wakatengeneza hii series, kila episode ni story tofauti, inatisha balaah kuliko ata most movies

2. American Horror story:

nayo ni series ya horror, kwenye hii series kila season ina story yake, zipo season saba kama sikosei, season1 inahusu nyumba yenye historia ya vifo, kila anaepanga humo lazma afe, Season 2 inahusu hospitali ya vichaa, season inahusu wachawi, 4, 5, 6 sikumbuki vizuri but kama ni mpenzi wa horror hizi series are worth watching
 
Dominion hi series sijawahi kuielewa lengo lake..
Eti malaika Mungu alipotea malaika Mikael akaja kuwalinda binaadamu afu Malaika Gabriel ndio adui...kabisa Malaika Gabriel cheo chake na heshima alio nayo anaweza kuchezwa kama adui???
Unashangaa hiyo umeiangalia ile season moja maarufu wanaiita Supernatural ukiachana na arch angel Kama Gabriel, Michael, Rafael na angel wengine kama sjui metatron ,castiel na Lucifer hadi mungu yupo Kama miongoni mwa characters

Ila wanatumia vessel hawapo kweny maumbo yao yaani wana mposses human being ni miongoni mwa Series Kali sana itafute

Dominion imepoa sana
 
Supernatural ya Dean na Alex ?
Unashangaa hiyo umeiangalia ile season moja maarufu wanaiita Supernatural ukiachana na arch angel Kama Gabriel, Michael, Rafael na angel wengine kama sjui metatron ,castiel na Lucifer hadi mungu yupo Kama miongoni mwa characters

Ila wanatumia vessel hawapo kweny maumbo yao yaani wana mposses human being ni miongoni mwa Series Kali sana itafute

Dominion imepoa sana
 
Isubirie the conjouring3
Hiyo conjuring ni nzur sana according to Rotten Tomatoes hii ni tovuti ilivunja rekodi

Embu kacheki hizi
Annabelle - cheki zote
Drag me to hell
1920-hii ni Indian movie

Nyegine nimesahau mpaka nipakue faili langu la horrors nizisome

Kuna moja watoto wanapotea mtaani kumbe kuna kibibi kina kula watoto
 
Mkuu kwahiyo wew unapenda kabisa, kutishwa tishwa? Ebu nipe siri hapo kidogo ya kupenda hizo movies japo kidogo..tu
Sipendi movie zilizopooza mi napenda attention yote kwenye movie..sio kama movie nyingine sizipendi NO napenda hasa love story.
 
Kwenye nchi yetu hatuna huduma yake sidhan kwakweli labda huyo mtu yupo abroad

Netflix sometimes sio nzuri

Jaribu Hawa cw series hasa cw seed kuna kimbembe huko

My friend anatumia anaangaliaga movie ila mchoyo sana but huaga anaangalia movie ye kapewa iyo account ya netflix anawekaga bando lake 1gb then anaangalia movie
 
Back
Top Bottom