Njia rashidi ya kupata movie ni kutumia torrent,
Kama una PC ingia Google, type bitcomet alafu download Kisha install,
Baada hapo ingia yts.com, humo utakuta kila movie iwe mpya iwe ya zamani, kila category alafu zote ni HD
Ukishapata unayotaka chagua download Kisha utaona Alama ya magnet bofya hapo,
Ile app ya bitcomet itadaka kisha itaomba ruhusa yako, utairuhusu
Alafu mzigo unaaza kushuka,
alafu hii app inaweza kudownload vitu vingi Kwa wakati mmoja, mwenyewe huwa nashusha movies kuanzia 7 mpaka 9 na zote zinajaa unafanya kuangalia tu ukipata muda.