Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

The Conjuring 1&2 na The Nun ndio movie zangu ambazo sichoki kuangalia hata kila siku.
 
Kwangu mimi ni
GHOST SHIP
THIR13EN GHOST
1408
TRIANGLE
MIRROR(1&2)
MISSED CALL




Sent from my iPhone using JamiiForums
Napenda iyo ghost ship, pale mwanzoni ule mnyororo ulivyo kata vipande vya watu, dogo akapona na kwakua alikua mfupi
 
1577940986326.png
 
Back
Top Bottom