Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Benz gani mkuu iwe na shift gear ya clutch peke yake hii gear lever itakuwa na either govi au button kadhaa au tuseme itakuwa na Fuller gear box ya ku press kulia katika kuhama ambao ni old sana?Ila sio tata ni benz
Vp mwalimu ulishapata ajira?
JKT ulifanikiwa 2017?
Dada ulimnunulia smart ya 250K?
Sent using Jamii Forums mobile app
1 unasukuma stick, 2 button & clutch but from 8 to 9 is where you shift into high gears by pulling the stick rightward. Then from 9 to 8 you push left ward( low range).Hii haina high na low.
Ukiweka namba 1 ili upate 2 utakanyaga clutch bila kuingiza gia.
Sahihi! Benz, IVECO, SHACKMAN and the likes (zenye fuller gearbox ) high na low hakuna govi wala batani ni mwendo wa kuvuta stick kulia na kuisukuma kushoto kisha unasikilizia inavyocheuaBenz gani mkuu iwe na shift gear ya clutch peke yake hii gear lever itakuwa na either govi au button kadhaa au tuseme itakuwa na Fuller gear box ya ku press kulia katika kuhama ambao ni old sana?
Benz gani mkuu iwe na shift gear ya clutch peke yake hii gear lever itakuwa na either govi au button kadhaa au tuseme itakuwa na Fuller gear box ya ku press kulia katika kuhama ambao ni old sana?
Sielew nataman kuelewa1 unasukuma stick, 2 button & clutch but from 8 to 9 is where you shift into high gears by pulling the stick rightward. Then from 9 to 8 you push left ward( low range)
NB: zoezi la low to high or high to low lazima lifanyike kwenye hizo nucta mbili juu ya stick
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa na hii ngoma ni DAFSielew nataman kuelewa
kelphin kepph
Sielew nataman kuelewa
kelphin kepph
Umewasilisha vizur sana mkuu ata mimi nimetoka na kitu apa [emoji106]Hiyo gear lever ina batani moja tu, hiyo batani pia ina tumika kuingiza gear.
Ukisukuma gear lever kwenda kwenye position ya gear namba 1, gear namba 2 utabonyeza tu batani kisha utakanyaga clutch while gear lever ikiwa hapo hapo kwenye namba 1.
Utaingiza namba 3 kwa gear lever then namba 4 ni batani na clutch. Mpangilio ni huo huo kwenye kila gear mpaka zitimie 16..
Shukrani mkuu....nmepata mwangaHiyo gear lever ina batani moja tu, hiyo batani pia ina tumika kuingiza gear.
Ukisukuma gear lever kwenda kwenye position ya gear namba 1, gear namba 2 utabonyeza tu batani kisha utakanyaga clutch while gear lever ikiwa hapo hapo kwenye namba 1..
Vp mwalimu ulishapata ajira?
JKT ulifanikiwa 2017?
Dada ulimnunulia smart ya 250K?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuuu tuambie ukweli tu si kila anaeenda mererani anafanikiwa mirerani ya miaka hiii si ya miaka ileAisee mkuu unanitafuta ubaya [emoji23] [emoji23] niliachana na hayo mambo kitambo tu nikahamia kwenye tanzanite mererani na huko ndiko nilikofanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app