Wapenzi wa gari aina ya Scania tukutane humu

Wapenzi wa gari aina ya Scania tukutane humu

Ila sio tata ni benz
Benz gani mkuu iwe na shift gear ya clutch peke yake hii gear lever itakuwa na either govi au button kadhaa au tuseme itakuwa na Fuller gear box ya ku press kulia katika kuhama ambao ni old sana?
 
Ambao hatuna ndoto ya kumiliki hata bajaj tunakomenti humu humu au tugawe likes kimya kimya....!
 
ob_88f998_le-seul-camion-ayant-survecu-au-tourn.jpg

Naukubali sana huu mlori
 
Vp ulaji wa mafuta?
Spare zinapatikana?
Kwa hizi barabara za kimara zinapita?
Speed je?
 
Hii haina high na low.
Ukiweka namba 1 ili upate 2 utakanyaga clutch bila kuingiza gia.
1 unasukuma stick, 2 button & clutch but from 8 to 9 is where you shift into high gears by pulling the stick rightward. Then from 9 to 8 you push left ward( low range).

NB: zoezi la low to high or high to low lazima lifanyike kwenye hizo nucta mbili juu ya stick

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benz gani mkuu iwe na shift gear ya clutch peke yake hii gear lever itakuwa na either govi au button kadhaa au tuseme itakuwa na Fuller gear box ya ku press kulia katika kuhama ambao ni old sana?
Sahihi! Benz, IVECO, SHACKMAN and the likes (zenye fuller gearbox ) high na low hakuna govi wala batani ni mwendo wa kuvuta stick kulia na kuisukuma kushoto kisha unasikilizia inavyocheua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ukiamua unatumia buton au gia kawaida outmatik kubadilisha yaani kupangua lenyewe
Benz gani mkuu iwe na shift gear ya clutch peke yake hii gear lever itakuwa na either govi au button kadhaa au tuseme itakuwa na Fuller gear box ya ku press kulia katika kuhama ambao ni old sana?
 
Hiyo gear lever ina batani moja tu, hiyo batani pia ina tumika kuingiza gear.

Ukisukuma gear lever kwenda kwenye position ya gear namba 1, gear namba 2 utabonyeza tu batani kisha utakanyaga clutch while gear lever ikiwa hapo hapo kwenye namba 1.

Utaingiza namba 3 kwa gear lever then namba 4 ni batani na clutch. Mpangilio ni huo huo kwenye kila gear mpaka zitimie 16.

Ukifika gia namba 8 kabla ya kwenda 9 itabidi uhamie high range kisha uendelee 9-16.
Juu ya gear lever kuna nucta mbili, name them as N1(neutral position) and N2(neutral position)
consecutively

Ili utoke low range kwenda high range, utasukuma lever kutoka namba 8 mpaka kwenye nucta ya kwanza N1 kisha hiyo lever utaivuta kulia kwenye nucta ya pili N2, gari itacheua then utasukuma tena lever mpaka namba 9. zoezi hili linafanyika kwa uharaka.

Kwenye kupangua kutoka high kurudi low ni kinyume chake, utatoka namba 9 mpaka N2 kisha utasukuma lever kurudi kushoto mpaka N1 then 8.

Nimeassume hujawahi kuiona hiyo pattern kwenye hiyo lever ndiyo maana nimeandika maelezo marefu.

Asante
Sielew nataman kuelewa

kelphin kepph

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo gear lever ina batani moja tu, hiyo batani pia ina tumika kuingiza gear.

Ukisukuma gear lever kwenda kwenye position ya gear namba 1, gear namba 2 utabonyeza tu batani kisha utakanyaga clutch while gear lever ikiwa hapo hapo kwenye namba 1.

Utaingiza namba 3 kwa gear lever then namba 4 ni batani na clutch. Mpangilio ni huo huo kwenye kila gear mpaka zitimie 16..
Umewasilisha vizur sana mkuu ata mimi nimetoka na kitu apa [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo gear lever ina batani moja tu, hiyo batani pia ina tumika kuingiza gear.

Ukisukuma gear lever kwenda kwenye position ya gear namba 1, gear namba 2 utabonyeza tu batani kisha utakanyaga clutch while gear lever ikiwa hapo hapo kwenye namba 1..
Shukrani mkuu....nmepata mwanga
Kunasiku nlipata lift kwenye scania Fulani
Kwenye gear pale kunavidude anabonya yan kana analock na ku unlock

kelphin kepph
 
Back
Top Bottom